Aisee unarudia swali lile lile kwa mtindo tofauti.Downfall ya nchi hii inaenda kutokea kutokana na watu wenye akili ndogo sana inayofanya maamuzi iliyopo.
Kwamba hao wanaharakati 6, walikuwa wanakuja mahakamani kufanya nchi isitawalike??
Watanzania tumeamua kuwaacha tu wafanye ujinga wao. But Tanzania tukiamua kuanzisha online battle na hawa wakenya, haki ya Mungu wataina Kenya takataka.Mfano huu wimbo nimetumia dakika tano kutengeneza. πππ
Ni wimbo wa karibu dakika nne.
View attachment 3342204
FATWAAA!π€£π€£π€£Finyaaaaa hio chura. π€£ π€£
Wimbo ni mrefu ngoja niweke audiomack nikupe link. πππWatanzania tumeamua kuwaacha tu wafanye ujinga wao. But Tanzania tukiamua kuanzisha online battle na hawa wakenya, haki ya Mungu wataina Kenya takataka.
Kuna vichaa wa UVCCM wametapakaa kila kona ya Tanzania. Walitulizwa na kuambiwa waacheni.
Uzuri wa Tanzania vijana wapo Controlled na wanasikiliza viongozi wao.
Nipe hiyo link kisha niwapatie dogs. Lakini nakuomba kwenye Wimbo huo usimuhusishe Ruto maana tunaheshimu viongozi wa nchi zingine.Wimbo ni mrefu ngoja niweke audiomack nikupe link. πππ
Watahangaika sana kutuvuruga lkn hawatoweza, Mkenya anakuwa upande wako jiulize mara mbili haya majamaa ni manafiki sana.
Tanzania haina taasisi.Aisee unarudia swali lile lile kwa mtindo tofauti.
Wacha niufunge huu mjadala mkuu.
Tanzania inafahamika ina madhaifu yake ila taasisi yake sio dhaifu kiasi iruhusu nchi ipate downfall.
Hapa ndio akili zilipopishana na maisha. Endelea kuwa mtumwaPole walala uswazi., usipotee njia tafadhali π€£.,chumba kimoja inaitwa bedsitter ama Studio apartment in American English, na pia Kuna one bedroom, two bedrooms na three bedrooms, unaamua mwenyewe., Tanzania mnaondoa uswazi lini?..,
Aisee unarudia swali lile lile kwa mtindo tofauti.
Wacha niufunge huu mjadala mkuu.
Tanzania inafahamika ina madhaifu yake ila taasisi yake sio dhaifu kiasi iruhusu nchi ipate downfall.https://www.instagram.com/reel/DJ9aDYksvDQ/?igsh=dTl6ZzI5Ymh0dmN1
Waziri wa Ulinzi anasema wanajeshi ni wa kufa tu.
Kuna Nini ya maana hapo nivuke nipate!Aren't you forgetting something that your country is a third world country as well?.
If you say so, Na wewe vuka boda uje ukosoe huku. Uone namna unanyonywa ma.vi.
Mlisema tutaomba msamaha kwenye TV na radio for a whole week. Have you forgotten?Unabisha nini? be specific.
I knew your government wouldn't have taken long before coming up with an airport project in Serengeti after Kenya did the same with Narok airport. Copycats who use Kenya as their yardstick for development projects. Can't you just think on your own?Kundustan jiandaeni Kwa maumivu zaidi Kwa miradi hii miwili
1.Serengeti International Airport
View attachment 3342370
2.New SGR Kutoka Tanga Port-Isaka and it's branch to Kusoma via Arusha.
View attachment 3342371
Mombasa & Lamu port zinaenda kuwa white elephant ππ
Boniface Mwangi kaingia Tanzania karudi Abdallah Mwangi.Mlisema tutaomba msamaha kwenye TV na radio for a whole week. Have you forgotten?