The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Kwani usafiri ni ndege tu? Tuliwapakiza kwenye boda boda cz ndiyo hadhi yenu hiyo, hakuna kurudishwa na ndege.Sijawahi kuona nchi ina watu wajinga serikalini kama Tanzania. Hii kesi itaenda mbali na kuiletea Tanzania matatizo kwasababu ya hatua za kipuzi. Ilkua ngumu aje kuwarusha kwenye ndege na kuwarudisha nyumbani