concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Kwenye issue ya mapato ukitaka kufail tumia watendaji , hutafanya maajabu yoyote , ila ukiwa na mgambo wako au kibarua anayelipwa kwa commisionMaana yake wewe ulikuwa unafanya kazi field mbali, na unatumia nguvu.
Katika ofisi ambazo ni ngumu kupata mafuta na usafiri ni pamoja na mapato kwa taasisi zote, usione watu wako mtaani , niliwahi koma miaka hiyo nafanya hiyo KAZI, hela rahisi kuipata ni ya kukaa ofisini kuandika vochaWatendaji wa vijiji lazima wawe diplomatic kwasababu wanaishi na hao watu.
Mkuuu Kuna sehemu Kuna Kodi zaid ya hizo ebu tuchambueOfisi za mapato field zipo. INa lazima ofisi hizo zilewe posho, gari na mafuta kwasababu zinaenda field.
Ila nakupa mfano.
Una biashara ya Nyama au Vipodozi👇
Leseni 150,000Halmashauri inataka:
- Leseni
Service levy halmashauri nyingi kwa maduka zimewekwa fixed amount ila ni 0.3% hii bado Iko chini sana hata vat ya tra kwa napojua wengi service levy wanalipa 20,000-200,000 kwa mwaka
- Service levy
Ushuru wa taka , mkuu ipi Bora kuja kukusanyiwa taka au uwe unazipelekwa jalalani mwenyewe , kumbuka ni marufuku kuchimba shimo la taka na miradi ya nyama inaongoza kuongeza uchafu mtaani
- Ushuru wa taka
Bango ni wewe tu ukiweka kubwa lenye mwanga lazima likutafune tumia leaflets 🤣🤣🤣🤣
- Ushuru wa bango.
Bango ukiamua hata 30,000 unalipa kwa mwaka
Mengine mkuu haya yanamsaaada mkubwa sana tu kwetu , mfano ukaguzi wa nyama, wakisema Kila mtu atafute mtaalamu wa nyama unadhani nani utamtoa ofisini kwa 20000
Chq maana labda ni kupunguza baadhi ya gharama ila kwenye issue ya chakula duniani kote sio mchezo .
Nenda tu hapo Beira omba kibali cha pharmacy uone shughuli yake
- Kama unanunua mnyama unatembeza unapaswa kulipa kibali cha movement
- Ushuru wa machinjio
FIRE
- Wanataka fees ya ukaguzi na ununue fire equipments
TBS
- Wanataka usajili wa premises kwa 50,000 -100,000 kwa mwaka.
- Bodi ya nyama wanataka fees kwa mwaka
Hapa, kila taasisi inakuja kwa wakati wake, bila kujali jana kuna taasisi nyingine ilipita kwako.
Bado baba lao TRA.
Biashara haitaweza kukua hata siku moja. Na possibility ya kufa kama huho mtu analipa kila kitu ni rahisi sana.
Huwezi kula pesa za POS lazima zipote kwenye MFUMO.
Huduma nzuri zinatokana na uwekezaji.
Huduma afya za serikali hazisaidii Vituo kununua vifaa bora vingi, mpaka vipelekwe na serikali kuu.
Na pia huko private, watu wanaenda kulipa ila wakikosa pesa ndio wanaenda serikalini.
Hilo ni sawa.
Na kwakuwa Wizara ya afya ndio msimamizi, wanaweza kuboresha.
Ingawa Benjamin Mkapa inasimamiwa na Mkapa Foundation.
Shida siyo kuziendesha.
Shida ni HUDUMA za bure.
Hata ukimpa mtu mwingine, bila mapato hawezi kufanya maajabu.