A country of primary school dropouts. Wanafaa kufika at least form 6 lakini wengi wanawachia class 7.
www.jamiiforums.com
Pre GE2025 - Ukiachana na Musukuma, hawa ndio wabunge wengine 12 ambao wameishia darasa la 7. Mbunge wako yupo?
Wakuu, Hivi karibuni nimeona watu wanalalamika kwamba tovuti ya Bunge inafuta CV za wabunge makusudi ili tusijue level zao za elimu. Sasa kabla hawajafuta, ni vyema tujue nani ni nani. Mule bungeni kuna wabunge wengi ambao waliruka umande. Yani mtu alisoma hadi la 7 tu after that akajikuta...