Eti hii ndio mechi yao kubwa kabisa huko kunyalander. 🤣🤣🤣👇🏾.
View: https://www.instagram.com/reel/DKZnHKJo-lq/?igsh=MTI4Y2gybzM5bDE3eA==. Quality ya hii stadium mwa hapa Bongo ni mkwakwani stadium Tanga.
Hapa eti hiyo ni derby.The pitch is terrible!!!
Mombasa??Dhaka Bangladesh 🤣
View attachment 3353779View attachment 3353781View attachment 3353782View attachment 3353783View attachment 3353784
Ichoboy, njoo ukenue menu huku 😆
Kwa nini mnapenda to dwell in Lala land ?.. hii Mkwakwani au ingine?Mkwakwani pazuri.
Labda Liti Singida
Si muanze na kuboost kwanza Dar hili ipoteze Mombasa?Mombasa??
Tuna boost kidogo Tanga, Mombasa inapotea
Tazama uwanja ambao utatumika kwaajili ya mashemeji dabi dah hawa wakulungwa wana safari ndefu sana.
View: https://www.facebook.com/share/p/1AgsP8XR3v/
Nairobi haina uwezo wa kushindana na Dar.Si mean r na kuboost kwanza Dar hili ipoteze Mombasa?
Kwa nini mnapenda to dwell in Lala land ?.. hii Mkwakwani au ingine?
View attachment 3353819
Umeokota picha za mwaka gani??According to @ Mkaruka Kichwa , Tanga stadium is of higher standard in comparison to Homa Bay one… You can’t make this sh*t up !.. 🤣🤣🤣
View attachment 3353834View attachment 3353835
Inapotelea Tandale, sivyo?Mombasa??
Tuna boost kidogo Tanga, Mombasa inapotea