NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,758
- 49,676
Mi ndio nawasikia Mkuu .nadhani ndio hiyo hiyo mkuu, vipi kwani jamaa wakoje kwenye huduma zao.?
Mi ndio nawasikia Mkuu .nadhani ndio hiyo hiyo mkuu, vipi kwani jamaa wakoje kwenye huduma zao.?
Hizi unapost kila mwaka mzee.? Huu ni mwaka wa 6 sasa mnapost tu same photos. 🤣🤣That slum is Kibera bongolala, if that's what you wanted to show. The usual Kibera you pst here daily.
Talking of that view, what will you say about these ones from your fishing village?View attachment 3356079View attachment 3356081
Issue sio ku set targets elewa swali vizuri. Your revenue targets are almost equal to ours while sisi uchumi wetu ni half ya kwenu 😁Which country doesn't set revenue targets? Mnashangaza sana nyie viumbe
So huko kunyalazy slum ni kibera tu?That slum is Kibera bongolala, if that's what you wanted to show. The usual Kibera you pst here daily.
Talking of that view, what will you say about these ones from your fishing village?View attachment 3356079View attachment 3356081
Uko na video??That slum is Kibera bongolala, if that's what you wanted to show. The usual Kibera you pst here daily.
Talking of that view, what will you say about these ones from your fishing village?View attachment 3356079View attachment 3356081
Ona sasa kilaza anajipiga risasi ya mguu alafu vilaza wanampigia makofi.nairobae Nicxie Teargass Compare
Feature Two Rivers Mall (Nairobi) EACLC (Dar es Salaam) Purpose Retail & Lifestyle Trade, Import-Export Logistics Audience Shoppers, tourists, consumers Traders, importers, B2B buyers Main Activity Shopping, entertainment, dining Goods distribution, storage, customs Location Focus Urban consumers (Nairobi) Regional trade corridor (Dar to hinterland) Economic Impact Consumer economy, tourism Trade efficiency, export/import growth Infrastructure Malls, cinemas, parks Warehouses, showrooms, logistics offices Regional Importance Tourism and urban lifestyle hub East Africa’s key logistics gateway
Stop asking the same boring question every now and thenUko na video??
Mbwa kokoStop asking the same boring question every now and then
Unataka tupost nini na uswazi zenu bado ziko palepale and are clearly visible even on Google Earth?Hizi unapost kila mwaka mzee.? Huu ni mwaka wa 6 sasa mnapost tu same photos. 🤣🤣
It's the biggest and measures only 2.5 square kilometers bongolala. Now compare that with your sprawling uswazi hovels that spread all over DarSo huko kunyalazy slum ni kibera tu?
Kwani Unapata uoga hiyo facility ikiitwa mall.? 🤣🤣🤣Ona sasa kilaza anajipiga risasi ya mguu alafu vilaza wanampigia makofi.
Bongolala, your own screenshot clearly states that the purpose of EACLC is trade, import and export. Tell me which mall engages in import and export business
The audience is stated as traders and importers while that one of a mall is described as shoppers, tourists and consumers.
The main activity in EACLC is goods distribution and storage. That one of a mall is shopping, entertainment and dining.
Mnajaribu kulazimisha usiku iwe mchana
Nipatwe na uoga ya nini wewe mnyamwezi? Najaribu tu kukutoa ujingaKwani Unapata uoga hiyo facility ikiitwa mall.? 🤣🤣🤣
Unaogopa bhana sema ukweli.. kwasababu umekazana kupinga tangu juzi. 🤣🤣🤣Nipatwe na uoga ya nini wewe mnyamwezi? Najaribu kukutoa ujinga
Bongolala, Kenya is the mother and father of malls in this region. Tumeziona na kuzitumia hadi tukachoka. Sijui ni uoga gani nawezaingizwa na logistics center that people force so hard to call a mall.Unaogopa bhana sema ukweli.. kwasababu umekazana kupinga tangu juzi. 🤣🤣🤣
It's the biggest and measures only 2.5 square kilometers bongolala. Now compare that with your sprawling uswazi hovels that spread all over Dar
Nipatwe na uoga ya nini wewe mnyamwezi? Najaribu tu kukutoa ujinga
Unaongelea past tense sindio.? 🤣🤣🤣 nice try.Bongolala, Kenya is the mother and father of malls in this region. Tumeziona na kuzitumia hadi tukachoka. Sijui ni uoga gani nawezaingizwa na logistics center that people force so hard to call a mall.
Atakuwa alishushwa na Tahmeed LUMUMBA huyo kengeRoutes zote za daladala Dar es Salaam zina destination ya kariakoo. Commuter rail iko na routes mbili zenye destinations kariakoo. BRT phase 1 & 2 zote zinaishia kariakoo. Kuna muda ukifika unaweza jiuliza hawa watu wametoka wapi.?
Na huo usafiri wote hautoshi kk. Huyo msenge alitembea lumumba street halafu eti anatuhadishia story za kariakoo. 🤣🤣🤣