BYD does not have a showroom in Dar is a slum lakini Nairobi iko.Ukikosa kitu Dar utafute Nairobi? Eh? 🤣
You people are really funny actually au mnaishi 1977?
So what.?BYD does not have a showroom in Dar is a slum lakini Nairobi iko.
Nikon does not have an official shop in Dar is a slum lakini Nairobi iko.
Xiaomi does not have an official store in Dar is a slum lakini Nairobi iko.
The thing you need to know is kwasasa mtanzania akikosa kitu Dar anafata China, na ndugu zanu huja huku bongo kununua bidhaa ndio China yao kwasasa.Wacha kujifanya unajua sana na hakuna kitu unajua, most government services zinapatikana kwa Huduma Centers, na zinapatikana country wide. Nairobi CBD is the biggest commercial hub in the region. They say ukikosa kitu ya kununua Dar is a slum au Kampala, itafute Nairobi.
We Jogoo wa shamba, wacha kujaribu kuwika jiji. Utanyogwa 😂 😂According to this foool. Ati hii ni rooftop parking. 👇🏾🤣🤣🤣🤣View attachment 3355187
Peleka matako we mungiki.We Jogoo wa shamba, wacha kujaribu kuwika jiji. Utanyogwa 😂 😂
Hawa kweli huwa wanasoma maoni yetu humu jf, japo huyo mofat wamezingatia nn? Mbona mkataba wa muda mrefu hivyo? Je, akishindwa?
Kama ni Mo tushapigwa hapo mkuu. Mo huwa hazingatii quality bali quantity.nadhani ndio hiyo hiyo mkuu, vipi kwani jamaa wakoje kwenye huduma zao.?
Kama kawaida huimini. Ndio maana huwa nawaambia chuki yenu dhidi ya Wakenya ni juu ya mambo ya kukaririshwa na wanasiasa Wala sio ukweli hamsikii. Fanya research yako alafu uje uniambie kama nimedanganya. It's interesting how Kila Mtanzania Analia eti mlinyanyaswa yet hakuna mwenye anajua huu ukweli.Can you bring the source please?
Am sure hizo facts zako umequote from a Kenyan blogger. How do you expect Kenyan magazine to write what happened.
Nyerere wasn't stupid and cunning
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/16WxNwrTfj/
Sawa babu jingaWewe ni kiatu
View attachment 3356211
We Jogoo wa shamba, wacha kujaribu kuwika jiji. Utanyogwa 😂 😂
Ndio maana hataki kuleta video.Chang'ombe yenyew sasa. Siku hata mtaa mmoja wa Nairobi ukiwa msafi hiv mtupostie
View: https://youtu.be/02XKpuppqHk?si=Ak0I-QD5xT8r7d3f
Tofauti ya Tanzania na Kenya is.BYD does not have a showroom in Dar is a slum lakini Nairobi iko.
Nikon does not have an official shop in Dar is a slum lakini Nairobi iko.
Xiaomi does not have an official store in Dar is a slum lakini Nairobi iko.
Govi boy kama kawaida yako. Hii insha umemeandikia nani?Ona sasa kilaza anajipiga risasi ya mguu alafu vilaza wanampigia makofi.
Bongolala, your own screenshot clearly states that the purpose of EACLC is trade, import and export. Tell me which mall engages in import and export business
The audience is stated as traders and importers while that one of a mall is described as shoppers, tourists and consumers.
The main activity in EACLC is goods distribution and storage. That one of a mall is shopping, entertainment and dining.
Mnajaribu kulazimisha usiku iwe mchana
Huyo jamaa Bado wanaishi 1970s Tanzania ilipokuwa kwenye socialism, vitu vilipokuwa banned so walikimbilia Kenya.The thing you need to know is kwasasa mtanzania akikosa kitu Dar anafata China, na ndugu zanu huja huku bongo kununua bidhaa ndio China yao kwasasa.
We mwambie tu mfano Kuna agent wa yutong Tanzania Yuko mikocheni, ila bado Kuna wabongo wanaenda kununua direct from yutong china.Tofauti ya Tanzania na Kenya is.
Tanzanians after seeing no official store ya kampuni Fulani, they take it as a gap na hufungua store wenyew na kuanza kuuza at a wholesale or rejareja. Hufata bidhaa wenyew na kutengeneza connections na big stores duniani hasa Dubai, China, turkey na India. Ingia Instagram, you will see a lot of store selling only Xiaomi or Nikon cameras owned by Tanzanians.
So ni ngumu kukosa kitu Dar, just know that.
Na hapo ndo Tanzanians wanawapiga gap kwenye entrepreneurship.
Even yesterday My favorite Metrozone shop inayosell cameras kama DJI osmo pocket 3 ilikuwa imeishiwa combo type but within 24 hours wameimport kutoka Dubai kutumia air Tanzania, sidhani Kuna mtu anafikiria NAIROBI kama backup. Kwanza vitu vyenu viko overpriced sana ni bora tu uagize moja kutoka china.
Ngoja tuone labda wameishajifunza kwa makosa.Hawa kweli huwa wanasoma maoni yetu humu jf, japo huyo mofat wamezingatia nn? Mbona mkataba wa muda mrefu hivyo? Je, akishindwa?
Nazipenda Shacman zinanguvu hizo.We mwambie tu mfano Kuna agent wa yutong Tanzania Yuko mikocheni, ila bado Kuna wabongo wanaenda kununua direct from yutong china.
Kuna kiwanda cha faw pale pwani ila Kila meli ukiingia bado Kuna malori shazi ya faw yanaungizwa na wabongo.
Citation please. Can you provide source ya Taarifa zako.Kama kawaida huimini. Ndio maana huwa nawaambia chuki yenu dhidi ya Wakenya ni juu ya mambo ya kukaririshwa na wanasiasa Wala sio ukweli hamsikii. Fanya research yako alafu uje uniambie kama nimedanganya. It's interesting how Kila Mtanzania Analia eti mlinyanyaswa yet hakuna mwenye anajua huu ukweli.
Haya magari ya BRT ya Mofat yapo TZ tangu mwaka jana. Yalishuswa bandarini tukaambiwa yanaenda nchi nyingine. Lakini ilikuwa kimya.Ngoja tuone labda wameishajifunza kwa makosa.
Tuombe tu isijekuwa wapigaji waliokuwa UDART wamehamia Huko ili kuendeleza mirija yao. Mafisadi wana Njia nyingi za wizi, hawashindwi kuchukua % Fulani kila profit kwa miaka 12
Hio Mofat Hisa zake zingekuwa Dar stock exchange, kila mtu anunue na faida tugawane and hence tuboreshe Huduma