Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaka hili jengo ni complex . Kuna na maduka ndani ambayo yatakuwa wanauza vifaa.
So uwepo wa maduka viwili vitatu makes it a mall? Who will be the anchor tenant of that 'mall' if I may ask?
 
Huo ndio ulikuwa mwanzo wa kuwaita hawa jamaa nyang’au😎😂
Kenya ni nchi ya ovyo.

Imagine kipindi hicho tunapambana kwa kushirikiana na kila mtu mwema anayepambana kuwaunga mkono Africa Kusini na utawala wa ubaguzi wa Rangi.

Kenya wao walikuwa wanafanya biashara na makaburu.

Hiyo tabia mpaka leo wanayo.

M23 wanafanya vikao Kenya.

Kuna genge linapigana na serikali ya Sudan, RSF wanafanya vikao wanafanyia Kenya.
 
Labda air tanzania iwe stunted na iache kutumia Dar kama hub ya ku conncet
Jana kuna mahali nimesoma tayari imeishaipiku na itabaki hivyo mpaka hiyo Air Tanzania ianze kuruka kwenda ulaya!

IMG_1986.png
 
Kenya ni nchi ya ovyo.

Imagine kipindi hicho tunapambana na kioa.mtu mwema anapambana kjwaunga mkono Africa Kusini na utawala wa ubaguzi wa Rangi.

Kenya wao walikuwa wanafanya biashara na makaburu.

Hiyo tabia mpaka leo wanayo.

M23 wanafanya vikao Kenya.

Kuna genge linapigana na serikali ya Sudan, vikao wanafanyia Kenya.
According to 👇🏾👇🏾👇🏾


images (72).jpeg
 
Back
Top Bottom