BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,053
- 2,551
Ata baada ya kumjibu utamuona na the same same question 3 months from now.Serena Beach Resort
Cowrie Shell
Pride Inn
Fala sana
Ata baada ya kumjibu utamuona na the same same question 3 months from now.Serena Beach Resort
Cowrie Shell
Pride Inn
Meli ndogo mnajenga miaka nane.
Pesa za zile apartments zitaanza kuwatokea puani soon. Nyie Non-NATO allies
View: https://x.com/SokoAnalyst/status/1933041450876387716?t=-tBlisCjXpMNwXK0xkA8DA&s=19
Yaan Wana wastaan wa abiria 1.8 kwa mwaka treni za abiria Zina jumla ya trip 6 na hazijazi
Sgr tz trip 10 kwa siku na bado ni ngumu kupata ticket kwa siku
Imagine ndo miji yenye idadi kubwa ya abiria kuliko mjii wowote Kenya huwa najiuliza ikifika hata huko malaba itakuwa treni moja inaendana na mabehewa 3 yasiyojaaKaribia abiria 150000 kwa mezi na abiria 5000 kwa siku hapo ni pamoja na kupika daka hadi zimeiva
Hujui rais wenu ni form 6 leaver .Kwani ukisema tu Hon. William Samoei Ruto, President of Republic of Kenya kuna shida?
View attachment 3365603
Ndio uliambiwa hivyo na Mama Ngina? KwikwikwikwikwiHujui rais wenu ni form 6 leaver .
Executive 90% imejaa mafala tupu wa primary
Ilipotezewa na hela zilikuwa focused JNHPP, cause ilibidi ianzwe kujengwa wakati wa Magu. ziko still kwenye plan . maana zinauwezo wakuongeza 1100mw . ila naona focus iko kwenye hydroKinyerezi III 650MW and IV 450MW ziliishia wapi?