Hizo ni stori tu Mkuu, na Mo amewekwa kama uso wa kampuni.Mwenye hisa kubwa ni mo ila hana kiwanda chochote kikubwa size ya Azam, mifano ipo wazi tu kiwanda Cha vinywaji kisemvule versus kiwanda vinywaji Cha Metl ( hata location haijulikani)
Ila ile ni biashara ya familia.