President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Hawezi taja mpaka yesu anarudiNitajie nchi yoyote duniani yenye GDP chini ya $250B, ambayo kwa pamoja, inajenga madaraja, mji mpya from scratch, reli, dam, kununua ndege cash, huku ikiwa na food security zaidi ya 100%, ikilipa mishahara bila shida huku ikisomesha watoto mapaka sekondari bure.