President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kaka hilo ndilo lengo la kuziunga nchi za EAC itabidi uanze kuzoea kaka. Umeona Rais Samia alienda kutembelea Comoros je, unaelewa maana yake?Nani kakuambia rwanda watutsi ndio wengi,kwenye population yao wahutu wapo mln 8 while watutsi wapo mln 3,burundi na rwanda ni wale wale hao jamaa,kuua kwao ni jambo la kawaida,kwanza mpango wa kiungana nchi afrika hapana aisee,mungano wa bara na znz changamoto zake ni kubwa,halafu tuungane tena na nchi zingine hapana aisee,muungano utapendeza kundustan waungane na somalia huko ndio itapendeza
Watanzania tunatakiwa tuanze kujiandaa. Tuache umwinyi wa pwani, kupata mafanikio kwa kuongea tu bila kufanya kazi.