Ndio maana huyu jamaa namshangaa sana muda mwingine sijui huwa anatumia akili gani!?Dola moja ni uhuni.
Huwezi kuungana na watu ambao hawana cha ku-OFFER.
Nchi kama Kenya haina MSINGI wowote wa nchi.
- Ardhi
- Lugha
- Sera mambo ya nje
- BATUK, Camp Simba
Siku zote wanataka TZ ndio itoe.
Usenge.
===
Imagine, Rwanda, Kenya wanataka eti Ardhi iingizwe kwenye agenda za Jumuiya, kwamba raia yoyoye ndaninya Jumuiya aruhusiwe kuhama na kuishi popote ndani ya Jumuiya.
Waseenge.
Wao hiyo ardhi WANAYO???
Tatizo viongozi wetu wanakariri sn, sio kila penye junction panahitaji flyover, wanaweza kuweka tunnels pia na ikawa solution, mfano kwenye junction zote ambapo BRT zinapita wangehakikisha wanajenga tunnels kama sio flyover au zote kwa pamoja.
Dar zijengwe na Dodoma pia zitajengwa, no problem, we can.Sasa hivi ni muda wa Dodoma buana
Kenya maisha ni tight sanaHii Nchi ya kasongo hapana aisee 🤣🤣👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DMGDwSCCJp-/?igsh=Y2tnbjBhY3A5ZWRx
Itikadi zilezile za Banyarwanda na Banyamulenge!Hizo unaweka Prompt za AI kaka. Sukuma/Nyamwezi is not a tribe. Ni kama kusema Waswahili ni tribe.
Akina Hamisa Mobetto, Kajara Masanja, Wema Sepetu, Flaviana Matata nk wote hao ni jamii ya (Sukuma/Nyamwezi).
Kwenye mila za kisukuma/Kinyamwezi datoga(Wataturu, Barabaig) Wanaheshimika sana. Mang'ati ni neno la kimasai maana yake Adui
Datoga na Sukuma/Nyamwezi ni kitu kimoja. But Massai na Sukuma/Nyamwezi hawapikiki kwenye chungu kimoja ni maadui.
Kama unataka uelewe zaidi. Majina ya Wasukuma/Wanyamwezi utakuta ni ya makabila mengine kabisa hayana maana kwenye lugha ya Kisukuma/Nyamwezi.
HII ISSUE NI NGUMU HUWEZI KUILEWA KAKA.
Nchi kama Marekani inaweza kukomaa na wahamiaji, kwasababu kila mtu anakula kwa jasho. Serikali inataka kodi tu.Ndio maana huyu jamaa namshangaa sana muda mwingine sijui huwa anatumia akili gani!?
Huyo USA mwenyewe ameanza kupunguza nguvu kwenye mashariki ya kimataifa ikiwemo NATO.
Sembuse wewe Mtanzania!?
Maana nchi iliyo stable ukanda huu kwa Kila kitu ni Tanzania.
Hizo nchi zingine have nothing to offer to us zaidi sisi tutakua tegemezi tu.
Je resources zetu zitatosha kugawanywa na hao watakaokua chini yetu!?
Hii Zanzibar tumeungana nayo ila still changamoto kibao.
Do not eat much what you can't chew.
Saa brother unanishambulia mimi binafsi. Nimekuwekea mpango wa EAC kuwa nchi moja. Na Tanzania ni sehemu ya EAC ikiwemo Rwanda na Burundi.Bro Kuna muda una akili kama mtoto aisee.
Kwahiyo Kila wanachofanya viongozi wetu basi ni sahihi?
Kwahiyo mtu kuwa na mawazo tofauti ni sawa na uoga?
Au hupendi watu watizame mambo kiutofauti!?
Yani mtu akiwa na mtazamo tofauti unampa jina mara muoga mara hisia binafsi.
Acha hizo,ni kosa kubwa sana kama hizo nchi zitaungana chini ya bendera moja na Tanzania.
Tupo hapa tutaona,Kigoma nadhani unayakumbuka mauaji na uhalifu wa tereza,ni warundi wale walikua wanafanya vile.
Nadhani watutsi unawajua vizuri pia wakoje.
Wewe endelea kushabikia vitu kiuchawa uchawa ukipewa kisa viongozi wamepanga basi kwako sawa tu.
Sasa hapo Tatizo lipo wapi? Kama Sukuma/Nyamwezi unawaweka kwenye kundi la Banyarwanda na Banyamulenge je, unataka kuwaodoa Tanzania? Sukuma/Nyamwezi ni zaidi ya 20% ya Population ya Tanzania. Rostam Aziz na yeye ni Msukuma. Lakini Rostam Aziz wazazi wake asili yake ni Persia.Itikadi zilezile za Banyarwanda na Banyamulenge!
Tanzania tumetoa sana Uraia kwa Warundi, lakini ni wale wanaokaa kwenye kambi za wakimbizi miaka 20+Embu panua akili kidogo,Burundi Ina matatizo ya ndani ambayo mengine yanachagizwa na ukabila.
Rwanda na ni exactly vile vile.
Kukaribisha hao watu chini ya bendera Moja ni kujiongezea matatizo kwa kuyabeba matatizo yao.
Mrundi ni Mrundi tu hata Aishi wapi exactly kwa Mnyarwanda.
Tena bora Mrundi anakumbuka fadhila ila Mnyarwanda hachelei kunyea mkono unaomlisha,tunaishi nao tunawajua hao.
Lakini hatuwezi ruhusu uhamiaji haram kisa jumuiya zisizo eleweka za EACSaa brother unanishambulia mimi binafsi. Nimekuwekea mpango wa EAC kuwa nchi moja. Na Tanzania ni sehemu ya EAC ikiwemo Rwanda na Burundi.
Mimi nimekuwekea reality wewe unaniletea hisia.
Huo kaka ndio mpango wa EAC na mwasisi wake ni Tanzania. Sasa kosa langu ni lipi?
EAC ipo kwasababu za kijiografia tu.Lakini hatuwezi ruhusu uhamiaji haram kisa jumuiya zisizo eleweka za EAC
Umesoma point yako kule juu kaka!?Saa brother unanishambulia mimi binafsi. Nimekuwekea mpango wa EAC kuwa nchi moja. Na Tanzania ni sehemu ya EAC ikiwemo Rwanda na Burundi.
Mimi nimekuwekea reality wewe unaniletea hisia.
Huo kaka ndio mpango wa EAC na mwasisi wake ni Tanzania. Sasa kosa langu ni lipi?
Mzinga.? Technology ya kutengeneza mzinga unaijua wewe.? 🤣🤣 hao wapuuzi Kunyarenda hawana hata technology ya kutengeneza baruti.watakuambia Kenya GDP yake ni 6 times ya North Korea 😂😂😂njoo kwa ground sasa hata kutengeneza mzinga mmoja wa kuruka 5km hawawezi halafu linganisha miji ya NK na Kenya uone kituko. Wealth is visible sio kwenye makaratasi.
na vi metrics vyao uchwara vya GDP, HDI, GNI 🤣🤣🤣🤣🤣GDP kubwa alafu miji vumbi tupu, inafaida gn kuwa na GDP ya hivyo alafu maandamano ya ugali kila siku, Rais wao anasema wakenya zaidi ya robo tatu wana share choo cha shimo, na tulisema humu wakabisha, leo president wao ana confirm kwamba ¾ ya wakenya wana share choo cha shimo. Alafu mtu akiniambia eti GDP ya Kenya ni kubwa huwa nashangaa sn, hivi are we serious kuita ka GDP ka $100B ni kubwa? Tuache masihara jmn, GDP inayo produce umeme usiozidi 3000MW ni kubwa hiyo? Huu ni uchale wakuu.
Rostam si Msukuma bali ana affiliation na Unyamwezi kutoka Igunga!Sasa hapo Tatizo lipo wapi? Kama Sukuma/Nyamwezi unawaweka kwenye kundi la Banyarwanda na Banyamulenge je, unataka kuwaodoa Tanzania? Sukuma/Nyamwezi ni zaidi ya 20% ya Population ya Tanzania. Rostam Aziz na yeye ni Msukuma. Lakini Rostam Aziz wazazi wake asili yake ni Persia.
Hao Banyarwanda na Banyamulenge hawawezi kufanya chochote, mmejazwa woga ambao hauna ukweli wowote
Unachofanya wewe ni kama Mchagga ajumuishe Wameru, Wapare, Wamasai na Wakamba na kuwaita Wachagga ili tu kupata namba! Upuuzi flani!Rostam si Msukuma bali ana affiliation na Unyamwezi kutoka Igunga!