Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Hayo mambo yana rekebishikaa sio msahafu alafu ukichunguza kwa makini hapa EA Kenya pekee ndio pro west wengine wote ni againstMaana yake wanaishi Kitanzania.
Lazima dalili ziwepo.
Wewe unazungumza kuhusu kunitoa makucha ya magharabi, wakati:
- Kenya ina host kambi ya kijeshi ya Uingereza, BATUK
- Kambi ya akijeshi ya Marekani, CAMP SIMBA
- Non NATO ally
Sasa huoni hata malengo mna tofautiana??
Wewe unaenda Mwanza, mwenzako anaenda Lindi halafu unasema mnaungana.
Aiseee kaka acha ubishi, Ethiopia ukabila Bado upo,April 2025 Oromo watu wamechinjana.Kaka sitaki kuongea sana kuhusu Kenya. Maana Tanzania kupitia CCM ipo katika mikakati ya kutatua tatizo lao kisomi kama tulivyotatua huo Ethiopia. Nataka nieleze tu namna CCM ilivyo saidia kwa hekima ya juu sana.
CCM ilisimamia uanzishwaji wa Prosperity Party ya huko Ethiopia. Kiliundwa 1 December 2019 baada ya vyama vifuatavyo kuunganishwa:
ADP
ANDP
APDO
BGPDUF
ESPDP
GPDM
HNL
ODP
SEPDM
Hivi vyama ndivyo vilikuwa Root Cause ya ugomvi wa kikabila usio na mwisho.
Kwa sasa Prosperity Party ni moja ya vyama(Watoto wa CCM)
View attachment 3408937Secretary General of Tanzania’s CCM party vows collaboration with Ethiopia to address global challenges
Addis Ababa, January 31, 2025 (FMC) - Emmanuel Nchimbi, the Secretary General of Tanzania's ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party, underscored the critical need for Ethiopia and Tanzania to collaborate in tackling a range of global challenges, incluwww.fanamc.com
Rwanda umeitizama?Hayo mambo yana rekebishikaa sio msahafu alafu ukichunguza kwa makini hapa EA Kenya pekee ndio pro west wengine wote ni against
Ndio hatua hizo kaka. Taarifa unayoiongelea hii hapa:Aiseee kaka acha ubishi, Ethiopia ukabila Bado upo,April 2025 Oromo watu wamechinjana.
Ni mzozo wa Tigray tu ndio uliotulia sio mwingine.
Kama CCM imesaidia April kwanini watu wa Oromo na Amhara walichinjana mwaka huu!?
Sasa imetoka kwa jumuia za kikabila imehamia kwa raia kama raia.Ndio hatua hizo kaka. Taarifa unayoiongelea hii hapa:
Uasi wa Oromo Liberation Army (OLA) ulianza mwaka 2018 na bado haujakoma kabisa. Serikali kuu ilisaini makubaliano ya amani na sehemu ya OLA tarehe 1 Desemba 2024, ambapo wapiganaji takriban 800 waliingia kambini kwa ajili ya kusalimisha silaha.
Kiwango cha vurugu kimepungua sana ukilinganisha na kilele cha mapigano mwaka 2022/2023, kutokana na shinikizo la kijeshi na makubaliano ya Desemba 2024.
MAMBO KAKA HAYAWEZI KUISHA HARAKA HARAKA TU
Ok tuseme muungano umeshindikana what is next,kwaiyo kila mtu ajipambanie kwaiyo iyo ndio njia sahihiMtutsi anaona lugha yake na kabila lake ndio bora zaidi,utampa lugha ipi ya kuungana akuelewe!?
Nenda kama Ethiopia hapo,Oromo,Tigrinyans na Amhara wanapigana kisa ukabila wanataka kupinduana kiutawala kisa ukabila,ndio taifa kama hilo useme liungane na mataifa mengine!??
Aisee embu wazeni nje ya sanduku makaka.
Mkuu Kuna international organization,tutatue matatizo yetu na tuungane kupitia hizo international organization kama EAC,SADC n.k.Ok tuseme muungano umeshindikana what is next,kwaiyo kila mtu ajipambanie kwaiyo iyo ndio njia sahihi
Brother zimewahi kuwepo dynests nyingi zikapita. Na haya ya akina Kagame na wenzake yanapitwa na wakati. Kwa sasa jamii zinakuwa kama kijiji. Kwa sasa ushirikiano ni muhimu mno kuliko kutengana.Mkuu Kuna international organization,tutatue matatizo yetu na tuungane kupitia hizo international organization kama EAC,SADC n.k.
Kikubwa sera za hizi organization ziboreshwe tu.
| Kipengele | Maelezo |
|---|---|
| Njia kuu | Lubumbashi → Kasumbalesa → Zambia → Beitbridge → Durban/Richards Bay |
| Mizigo inayopitia | Copper, cobalt, coltan, manganese |
| Thamani ya usafirishaji | $2.5 – $3.5 bilioni kwa mwaka (export transit value) |
| Mapato ya bandari | Zaidi ya $200 milioni kwa mwaka (fees, port charges, handling) |
| Ajira zinazohusiana | Zaidi ya ajira 15,000+ katika bandari, reli, clearing agents |
| Aina ya Athari | Maelezo ya Athari |
|---|---|
| Upotevu wa mizigo | Takriban 30–50% ya mizigo ya DRC inaweza kuhamia Tanzania |
| Mapato ya bandari kupungua | Kushuka kwa hadi $100–$150 milioni kwa mwaka kwa bandari za Durban/Richards Bay |
| Kupungua kwa mapato ya reli ya Afrika Kusini (Transnet) | Upungufu wa safari za mizigo za transit kupitia Beitbridge corridor |
| Upotevu wa mapato ya forodha (transit charges) | Afrika Kusini na Zambia wataathirika kifedha kutokana na kupungua kwa transit cargo fees |
| Ajira hatarini | Zaidi ya 3,000–5,000 ajira kwenye bandari, usafirishaji, na clearing zitakuwa hatarini |
| Mahitaji ya mafuta kushuka | Mahitaji ya dizeli kwa ajili ya malori na reli ya mizigo yatashuka, kuathiri sekta ya mafuta ya ndani |
| Athari kwa Tanzania | Athari kwa Afrika Kusini |
|---|---|
| Kupata mapato mapya ya transit ($200M+/y) | Kupoteza sehemu ya mapato ya transit na forodha |
| Kuongeza ajira mpya katika Kigoma, Dar, na reli | Kupunguza shughuli bandarini na reli ya kusini |
| Kuimarika kwa nafasi ya kiuchumi kikanda (COMESA/EAC) | Kupungua kwa nafasi ya Afrika Kusini kama "hub" ya kikanda |
| Kukuza biashara na ushawishi wa kijiografia | Afrika Kusini kushindwa kudhibiti ushawishi wa kiuchumi wa DRC mashariki |
wacha kuota Rwanda na Kagame ndio pro West wakubwa hapa Africa! Wakimbizi wa UK walipelekwa wapi?Hayo mambo yana rekebishikaa sio msahafu alafu ukichunguza kwa makini hapa EA Kenya pekee ndio pro west wengine wote ni against
Labda tuwe kama EU.Ok tuseme muungano umeshindikana what is next,kwaiyo kila mtu ajipambanie kwaiyo iyo ndio njia sahihi
Actualy wanahitaji wagon ferries za maana pia! Hayo yote ya juu uliyoandika GoT wanafanya!ATHARI KWA AFRIKA KUSINI ENDAPO NJIA YA MADINI YA DRC ITAPELEKWA TANZANIA
Afrika Kusini kwa miaka mingi imekuwa mlango mkuu wa madini kutoka Kusini na Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), hasa kupitia bandari ya Durban na Richards Bay, kwa kutumia njia ya reli kutoka Kasumbalesa → Zambia → South Africa. Hata hivyo, kuanzishwa kwa reli ya Lubumbashi–Kalemie na kukamilika kwa reli ya kisasa ya SGR kutoka Kigoma–Dar es Salaam ifikapo 2030, kuna uwezo wa kuhamisha sehemu kubwa ya biashara ya madini kutoka Afrika Kusini kwenda Tanzania.
1. Hali ya Sasa: Ushikaji wa Afrika Kusini Kwenye Sekta ya Usafirishaji wa Madini ya DRC
Kipengele Maelezo Njia kuu Lubumbashi → Kasumbalesa → Zambia → Beitbridge → Durban/Richards Bay Mizigo inayopitia Copper, cobalt, coltan, manganese Thamani ya usafirishaji $2.5 – $3.5 bilioni kwa mwaka (export transit value) Mapato ya bandari Zaidi ya $200 milioni kwa mwaka (fees, port charges, handling) Ajira zinazohusiana Zaidi ya ajira 15,000+ katika bandari, reli, clearing agents
2. Hatari ya Kupoteza Soko kwa Afrika Kusini
Ikiwa Tanzania itakamilisha miundombinu yake na kufanikisha usafirishaji wa madini kutoka mashariki mwa DRC kupitia Kalemie–Kigoma–Dar es Salaam, Afrika Kusini inaweza:
Aina ya Athari Maelezo ya Athari Upotevu wa mizigo Takriban 30–50% ya mizigo ya DRC inaweza kuhamia Tanzania Mapato ya bandari kupungua Kushuka kwa hadi $100–$150 milioni kwa mwaka kwa bandari za Durban/Richards Bay Kupungua kwa mapato ya reli ya Afrika Kusini (Transnet) Upungufu wa safari za mizigo za transit kupitia Beitbridge corridor Upotevu wa mapato ya forodha (transit charges) Afrika Kusini na Zambia wataathirika kifedha kutokana na kupungua kwa transit cargo fees Ajira hatarini Zaidi ya 3,000–5,000 ajira kwenye bandari, usafirishaji, na clearing zitakuwa hatarini Mahitaji ya mafuta kushuka Mahitaji ya dizeli kwa ajili ya malori na reli ya mizigo yatashuka, kuathiri sekta ya mafuta ya ndani
3. Faida Kwa Tanzania, Hasara kwa Afrika Kusini
Athari kwa Tanzania Athari kwa Afrika Kusini Kupata mapato mapya ya transit ($200M+/y) Kupoteza sehemu ya mapato ya transit na forodha Kuongeza ajira mpya katika Kigoma, Dar, na reli Kupunguza shughuli bandarini na reli ya kusini Kuimarika kwa nafasi ya kiuchumi kikanda (COMESA/EAC) Kupungua kwa nafasi ya Afrika Kusini kama "hub" ya kikanda Kukuza biashara na ushawishi wa kijiografia Afrika Kusini kushindwa kudhibiti ushawishi wa kiuchumi wa DRC mashariki 4. Mapendekezo kwa Tanzania:
- Kamilisha SGR Kigoma kwa wakati.
- Boresha Bandari ya Kigoma kwa kupokea meli za mizigo kutoka Kalemie.
- Hakikisha usimamizi wa haraka wa mizigo (ICD, Customs OSBP).
- Shirikiana na DRC kurahisisha matumizi ya reli ya Kalemie–Lubumbashi.
Ishu afrika kusini itakubali kupoteza soko lake , vipi kuhusu Zambia ? Kumbuka hiyo reli hiyo ikifufuliwa Inaweza ikafa kifo kwa Zambia kwa namna nyingineActualy wanahitaji wagon ferries za maana pia! Hayo yote ya juu uliyoandika GoT wanafanya!
SA ikubali isikubali, market forces ndizo zitaamua! Umbali wa Durban Port na Dar port kutoka Lubumbashi-Kalemie ndio utaamua nani mshindi haswa tutakapokuwa na wagon ferries za kutosha za kuvushia mizigo Lake Tanganyika!Ishu afrika kusini itakubali kupoteza soko lake , vipi kuhusu Zambia ? Kumbuka hiyo reli hiyo ikifufuliwa Inaweza ikafa kifo kwa Zambia kwa namna nyingine
I love this guy!! Huyu jamaa yuko vizuri sana, kama beni wa Nala angekuta huyu ndo gavana pale, basi Nala ingekuwa mbali sana sasa kwa hapa home