Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wivu ya nini ?… I will state one more time: nikiona hio roofing juu na sideways cladding, basi I will be the first to acknowledge your accomplishment. Hata cladding ya Talanta ni world class though Arusha is unique in itself. The question is kweli itawekwa ?.. soon Tutajua ..
watu mna record ya unfinished projects mnangojelea kuona nn kitafanywa?
 
Tanzania CT scan za 128 slides zinazo zisizopungua nne ziliagizwa 2022.
Tafuta kisingizio kingine kijana.
Hohohoho you wish.

 
desi
Wivu ya nini ?… I will state one more time: nikiona hio roofing juu na sideways cladding, basi I will be the first to acknowledge your accomplishment. Hata cladding ya Talanta ni world class though Arusha is unique in itself. The question is kweli itawekwa ?.. soon Tutajua ..
Cladding ya Talanta si world class budaa. 🤣🤣🤣 it’s as moderate as that of Hoima’s one. Huu uwanja upo Damniadio (a new Senegalese city) 👇🏾
IMG_9843.jpeg
IMG_9844.jpeg
IMG_9848.jpeg
Talanta bhana ni takataka budaa. 🤣🤣🤣
 
Hohohoho you wish.

Unaletaga ubishani wa *******.
Hiyo barua ya kuagiza kupelekwa CT scan 64 na CT scan 128 Moja Bugando kutoka Dar es salaam.
Inamaana zilishawasili bado kusambazwa.
Screenshot_20250720-221348.png
 
Back
Top Bottom