Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwaka wa 20 huu bado Al Shabab wapo Boni forest! Huoni aibu kama Mkundustani?
 
watu mna record ya unfinished projects mnangojelea kuona nn kitafanywa?
 
Tanzania CT scan za 128 slides zinazo zisizopungua nne ziliagizwa 2022.
Tafuta kisingizio kingine kijana.
Hohohoho you wish.

 
desi
Cladding ya Talanta si world class budaa. 🤣🤣🤣 it’s as moderate as that of Hoima’s one. Huu uwanja upo Damniadio (a new Senegalese city) 👇🏾Talanta bhana ni takataka budaa. 🤣🤣🤣
 
Unaletaga ubishani wa *******.
Hiyo barua ya kuagiza kupelekwa CT scan 64 na CT scan 128 Moja Bugando kutoka Dar es salaam.
Inamaana zilishawasili bado kusambazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…