Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaa upige domo zaidi.
TZ sio level yenu,mkiishiwa dawa za TB mseme tuwasaidie tena sawa kijana!?
 
By the way, Last weekend I travelled to Dodoma Via Sgr passenger train,
This thing goes up to 180kph, plus this wasn't the emu,
I'm sure the emus does better than this

I challenge the kenyas to bring screenshots of their speedometer reading on their sgr train so we compare,
I am sure the second hand Jurassic ralics will hardly do 70kph, this I am sure. Watu na akili timamu kabisa wanauziwa na mchina lidude linatumia Kuni Karne hii, hata kama mchina ndio alitoa hela 100% ndio ukubali kila kitu, is english not helping these poor neighbors or what 😃😃😃
 
Lingekuwa linafikisha hata speed ya 110 basi express ingekuwa inatumia masaa manne
 
Lingekuwa linafikisha hata speed ya 110 basi express ingekuwa inatumia masaa manne
Nairobi Hadi Mombasa km 400 wanatumia masaa 7 Hadi 8 na coaches zao ni very uncomfortable plus nginjanginja maana rail line Yao continuous welded,
Yaani unafika Kila kiungo kinauma,
Wakati Tz sgr ni continuous welded, comfortable coaches, hata uwe daraja la uchumi una options za ku adjust seat the way you want, you can sleep, do your work kwenye PC, yaani kama mtu niliyesafiri na sgr mara mbili I say so.
Na Dar Dom Km 450 ni only 3hrs.
 
Nairobi Hadi Mombasa km 400 wanatumia masaa 7 Hadi 8 na coaches zao ni very uncomfortable plus nginjanginja maana rail line Yao continuous welded,
Nasubiria total revenue mpaka kufikia June/30.

Wanazidiwa na lile gusi la mizigo la sgr linapiga 4 hrs na linatembea 120km/hr
Na Dar Dom Km 450 ni only 3hrs.
 
Unaletaga ubishani wa *******.
Hiyo barua ya kuagiza kupelekwa CT scan 64 na CT scan 128 Moja Bugando kutoka Dar es salaam.
Inamaana zilishawasili bado kusambazwa.
View attachment 3412430
Kupata 128 slice CT Scan in bongoslum ni ngumu hadi unatuonyesha tender documents. 🤣 🤣 🤣 Sasa 256 slice CT Scan si mtapata in 2050. Hatuko ligi moja.

Mama Lucy Kibaki Hospital 128 Slice CT Scan.

 
Cc nairobae umeona mwenzio keshakubali kwamba Arusha stadium ni the best in the continent 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…