AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,395
- 3,411
Wacha kuchukulia mambo kirahisi! Lugumi ni dalali wa silaha na wateja wake ni majeshi!
Yule ni wakala, sio dalali.
Wacha kuchukulia mambo kirahisi! Lugumi ni dalali wa silaha na wateja wake ni majeshi!
Itakuwa kuna kitu kilikutokea, ni kama miaka miwili sasa, ulikuja kubadilika ghafla.Hakuna sehemu nimekuambia kuna mtu anaye Milki kampuni kaka. Nimekuamnbia tu unatakiwa uwe na relatioship nzuri na watu ili upate pesa. Acha kuhesabu pesa za watu, tafuta pesa zako
Walikuwa wanamuiga tembo hao. Pia tunaweza sema ni "another indicator of fake GDP".Waliweka elimu bure baada ya Tanzania kufanya hivyo sasa wameangukia pua 😂😂😂
No you didn’t. Prove it !… unless you were just a passing tourist 😁😁We fala nimekaa Raleigh na Charlotte na Chapel Hill was my frequent place visited usitake kujifanya unajua sana huko we utingo
Hilo bwabwa usilichukulie serious,ni mshamba flan ambae kwake america ndio kila kituWe fala nimekaa Raleigh na Charlotte na Chapel Hill was my frequent place visited usitake kujifanya unajua sana huko we utingo
Hivi unafahamu bajeti ya elimu ya kenya ni mara mbili ya Tanzania?Walikuwa wanamuiga tembo hao. Pia tunaweza sema ni "another indicator of fake GDP".
Niliwapa challenge ndugu zetu hawa, Wakenya, watuoneshe nchi yenye GDP chini ya $250 inayofanya, tunayofanya, mpaka sasa kimya.
NairobiWalker nairobae
Na sasa wamepasuka msamba😎Walikuwa wanamuiga tembo hao...
na akili yangu niweke political statements kwenye basi langi?
Mambo haya yanawauma sana wakenya
Exclusive!! Inside 62,000-Seat Benjamin Mkapa Stadium Tanzania, Ready for CHAN 2025
View: https://youtu.be/ewpdSjUTSO8?si=ZrG3-T43kO2VeXam
Unaumia ukiwa wapi?Since when it rose to 62k? … ( I know , after Talanta was proposed and construction began)… you want to have that extra edge with uongo … wacha udaku ..🤣🤣
That landing view was so first world vibe . Now compare to another Landing somewhere beyond our southern border … 🤣🤣🤣Touchdown at Wilson airport
View attachment 3418622
Kabla ya kukujibu. Tuambie kiwanja kipi kenya chenye LED Perimeter Advertising BoardsSince when it rose to 62k? … ( I know , after Talanta was proposed and construction began)… you want to have that extra edge with uongo … wacha udaku ..🤣🤣