Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya about to be the 5th largest producer and exporter of avocados in the world. As usual putting Africa on the world map. Na tumetulia tu kimya kimya ..😜
 
Hivi wewe ni zuzu au ni mpumbavu.? Kuna elimu ya kugharamia 25k a year.? 🤣🤣🤣🤣. Au ume google tu ukaona ulete hapa..?
We bongolala sitaki domo domo vile mmezoea..niletee evidence hapa ya funding kwenye shule zenu kutoka kwa serikali. Nyinyi ni maskini
 
wakati mwingine tuache wivu hizi biashara ziko registered Brela including owners! Haya maneno ya sijui hiki kile hayajengi!
 
Haki ya mama wakenya hamna akili 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna budget na mapato.

Ingawa Kenya wanajua kukusanya Pesa. Kenya kodi, tozo za Halmashauri hawacheki na mtu, watu wanapigika.

Hata ukiangalia makusanyo yao ni makubwa, ila wanasiasa wanakula 90% ya hizo pesa zote
Mishahara yao ni trillion 2 za Tanzania kwa mwezi wakati Tanzania mishahara kwa mwezi ni billion 700 Kwahiyo Tanzania tukikusanya trillion 3 kwa mwezi wao trillion 4, kwenye development expenditures tumewapita
 
Mishahara yao ni trillion 2 za Tanzania kwa mwezi wakati Tanzania mishahara kwa mwezi ni billion 700 Kwahiyo Tanzania tukikusanya trillion 3 kwa mwezi wao trillion 4, kwenye development expenditures tumewapita
Mapato yao yote yanishia kwenye MISHAHARA na kulipa MADENI.

Hawawezi hata kujenga uwanja wa mpira kwa mapato ya kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…