chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
Imagine wametudouble idadi ya civil servants na huwa wanasema wapo kidogo lakini performance ni zero vikodi wanavyovipata wanavigawana umaskiniMapato yao yote yanishia kwenye MISHAHARA na kulipa MADENI.
Hawawezi hata kujenga uwanja wa mpira kwa mapato ya kodi.