ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,539
- 164,144
๐๐๐๐๐ kopa kula kimbia
View: https://x.com/moneyacademyke/status/1949341480260100282?s=46
View: https://x.com/moneyacademyke/status/1949341480260100282?s=46
Kama uliweza tudanganya kwa nyumba za kupangishwa za Karen za Nairobi kwanini tusiamini kuwa hao ni ombaomba wenu mnashindwa kuwatoa, Tanzania if your illegal utatoka tu. Inaonesha system zenu zilivyoweakKuna watu fukara kama nyinyi kweli? sijaona nchi inexport omba omba wengi kama nyinyi, hadi burundi wana nafuu
Mmetushinda kwenye slums na njaa,huko kwingine mnajifariji tu kwa data fakeKila mahali tunawashinda inakua "kwenye makaratasi". Typical bongolala
Halafu Hilo ni tankera mafuta kabisaMno tena kwa ushahidi sio fake cooked data kama ninyi View attachment 3420886
Tunahitaji maintenance facilities ndio takwa la EU kuturuhusu kwenda huko! Maana wanadai ndege zetu hazina usalama wa kutosha!Yaani Misri wana ndege 65 tuu na South Africa 20 Kenya 35? Tukijutahidi kuziongeza tunakua tishio Africa.
Tanzania hatujengi kwa mihemko , hiyo phase one ya ringroad ambayo imeshakamilika , phase 2 inaanzia kwenye round about kwenda morogoro na kuingia Dodoma mjini ambayo itacomprise na hizo diverts . Zinajengwa four lanes za Moro Dodoma na kuanzia msalato mpaka kwenye roundabout za ringroads iringa road.Kama hivi ndio munajenga intersections mbona kusikue na mrundikano.
![]()
Hatuko level moja na nyinyi wanyonge hamjui kutengeneza interchanges.
![]()
Never seen so much ignorance like one displayed by Bongolalasโฆ I repeat again, Galana Kulalu is a million acres total. Ruto is dealing with around 400,000 acres while the rest has been privatized ( as supposed to be in a capitalist society).. so keep yapping. But again show me a single farmer in Bongo with just 100,000 acres of crop as you guys claimed. That was the original argument, stop twisting the story..๐๐Chizi anakuambia 1mil acres
Babu jinga chokoraa wa detroit acha ungese,ulishaongeza sifuri 3 kwenye ule uongo wako,eti acres 1 mln,tukiwaambia vidata vyenu vya kupika povu linawatoka wajinga nyinyiNever seen so much ignorance like one displayed by Bongolalasโฆ I repeat again, Galana Kulalu is a million acres total. Ruto is dealing with around 400,000 acres while the rest has been privatized ( as supposed to be in a capitalist society).. so keep yapping. But again show me a single farmer in Bongo with just 100,000 acres of crop as you guys claimed. That was the original argument, stop twisting the story..๐๐
Buana acha kutupotezea muda eti ruto ana deal na acre 400,000 wakati Kila kitu Kiko wazi.Never seen so much ignorance like one displayed by Bongolalasโฆ I repeat again, Galana Kulalu is a million acres total. Ruto is dealing with around 400,000 acres while the rest has been privatized ( as supposed to be in a capitalist society).. so keep yapping. But again show me a single farmer in Bongo with just 100,000 acres of crop as you guys claimed. That was the original argument, stop twisting the story..๐๐
www.irrigationauthority.go.ke
Hivi Ukunduni trains zao wanazioshea wapi? Na maintenance inafanyika wapi?
View: https://www.facebook.com/share/v/197dK6CCGZ/
Hiii dodoma utakuwa jiji la mfano afrika mashariki na katiNimependa Point hii hapa:
Kilijadili namna ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya kimataifa ya Miss World 2026.
Galana Kulalu is one million acre project. So ni mkulima gani Bongo ako na million acres ?โฆ wacha utoto na ujinga !โฆ๐๐