Has your airline ever made any profit since inception?Hivi wewe unajuwa maana ya intrisic value? Google that first and re read what I said about hangars. Your business model is not realistic, you can't make any profit with those numbers (3 out of 35).
You can be upset with me if you like, but we can store our planes in the hangars, and the documents will indicate they are owned by Tanzanian govenment. Can you do the same?
We can still cash in on our 'dead airline'. It's like finding a hidden treasure in the attic! Can you do the same?Has your airline ever made any profit since inception?
Ok, letโs talk about figures cause it seems you so much into it.
Passengers
KQ -6M
ATCL -800k
Cargo
KQ -78K tonnes
ATCL - 25 tonnnes.
How will storing planes in hanger improve those statistics in favor of your dead airline?
Kwani Gwajima anakanisa moja? Na Kama alikosea si ashtakiwe kwa mujibu wa sheria, hao waumini wake wamekosea nini, kuzuiwa kuabudu?Brother makanisa mangapi yamefungiwa? Lililofungiwa ni moja tu. Tanzania kuna zaidi ya makanisa 1,000,000.
Ibara ya 41 (1) inaongelea kuhusu bunge kuvunjwa kabla ya majina kuwasilishwa, sasa jina moja lilishatajwa ili baadae lije kupelekwa kwenye tume ya uchaguzi.Ni ibara ipi inayosema vyama vya siasa vitangaze wagombea wao baada ya bunge kuvunjwa?
Makubaliano yepi wakati hakukuwa na mchakato au kinyanga'nyiro cha kumtafuta mgombea? Kikwete aliposema tumekubaliana, alikubaliana na nani wakati kibajaji alihoji?Huyo amepitishwa na CCM siyo INEC.
Tofautisha makubaliano ndani ya chama na Utaratibu wa ki nchi.
Mimi sijaona tatizo hapo.
Right off plane sio Ukunduni mnahitaji antidumping laws! Mangu High school inahitaji fligjht simulators n real aircrafts!Propaganda zako jiwekee, KQ has been donating aircrafts and aircrafts parts to education instituitions. Wewe unaweza peana mali sio yako? Air Tangagiza imewai peana hata mgrudumu?
Uganda Wanachimba mafutaNilikua sifahamu mie kwa mawazo yangu nilidhani EACOP ni kwaajili ya kusafirisha mafuta yakishakuwa imported bandari ya Dar badala ya kutumia magari.
Even after cashing in you will still go at a loss cause you bought second hand planes. Combine that with the tear and wear and you are done.We can still cash in on our 'dead airline'. It's like finding a hidden treasure in the attic! Can you do the same?
Iko bandari kavu Isaka ni karibu zaidi na Eastern DRC, Rwanda, Burundi na UgandaHapa bila kuhamishia kwala na Dodoma hali itakuwa mbaya sana kwa miezi ijayo.
Bandari kavu zilipendeza ziende Dodoma (icds) maana pale kuna ringroad ambayo imekwisha kamilika . Hapa mjini wangeachiwa malori ya mafuta tu.
Acha ujinga wewe. Dar Port is right at the City Centre hiyo ndio shida. Ni kama uweke mombasa port hapo Nairobi Haile Selassie Avenue halafu ziingie lorry 1000 za transit na zaidi ya 1000 for town trip shughuli yake itakuwaje hapo?Our major ports in Nairobi and Mombasa have special access roads for trucks to prevent traffic disruptions. Sisi sio bongolala kama nyinyi.
Hapa sikuelewi. Unalalamikia mchakato wa CCM au unalalamika katiba imevunjwa?Ibara ya 41 (1) inaongelea kuhusu bunge kuvunjwa kabla ya majina kuwasilishwa, sasa jina moja lilishatajwa ili baadae lije kupelekwa kwenye tume ya uchaguzi.
Makubaliano yepi wakati hakukuwa na mchakato au kinyanga'nyiro cha kumtafuta mgombea? Kikwete aliposema tumekubaliana, alikubaliana na nani wakati kibajaji alihoji?
Hapo Naipori tuu mmeshindwa kujenga BRT due to lack of funds and space restriction ndio mgeweza kujenga special lanes for lorries?Ni wapi nimesema special trucks? Learn to focus. Mombasa port is two times busier than your port. Mombasa port is efficient and has less traffic disruptions due to proper infrastructure and planning. Mombasa port is connected to A109 and A14 via the Dongo Kundu Bypass/Southern Bypass, which has an access road into the port. Unatuambia maneno mengi na barabara zenu zimejaa bottlenecks, karibu kila pahali ni zebra crossing. ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ
Kinachokusumbua brother ni emotions zako. Gwajima na kanisa lake tangu miaka ya 2000s anatuambia atamfufua Amina Chifupa umewahi kuliongelea hilo?Kwani Gwajima anakanisa moja? Na Kama alikosea si ashtakiwe kwa mujibu wa sheria, hao waumini wake wamekosea nini, kuzuiwa kuabudu?
Wamekuwa wakipewa hifadhi kwenye makanisa mbali mbali kama KKKT nako wamezuiwa, sasa Kanisa katoliki limewapa hifadhi, nako watazuiwa kuabudu? Huoni inaleta presedence (uhalali) ya mtifuano wa kiimani baadae?
Kweli Mkutano mkuu una mamlaka ya mwisho kuteua mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM. Ila kabla ya mkutano mkuu kukaa huwa kuna vikao halali vya chama hukaa kwanza kuchakata majina ya wagombea urais kupitia mchakato ulioainishwa kwenye katiba ya CCM. Wagombea kuchukua fomu za urais na kutimiza matakwa kabla ya kurudisha fomu then vikao halali vya chama hukaa kupitia majina na kuchakata kisha majina kupelekwa kwenye mkutano mkuu kwa kupigiwa kura.Hapa sikuelewi. Unalalamikia mchakato wa CCM au unalalamika katiba imevunjwa?
Sioni point yako hapa kaka.
Soma Katiba ya CCM vizuri uielewe. Chombo chenye mamlaka ya kufanya maamuzi ndani ya CCM ni mkutano mkuu kwa kupiga kura. CCM imefanya hivyo miaka na miaka.
Pili: Chombo kilichokabidhiwa kutangaza wagombea wa urais ni INEC kwamujibu wa sheria.
Mpaka sasa INEC haijatangaza mgombea yeyote. Sijaelewa wewe unalalamikia nini hapa. Sijui kama upo na uelewa wa Siasa na Sheria.
Kisheria CCM haijvunja kifungu chochote, ilichofanya ni kutekeleza mambo yake ya kisiasa kwa mujibu wa katiba ya CCM.
USIPOELEWA NA HAPA BASI
Wanaoshea kwenye platforms zilizoko kwenye stations zao, tena wanaosha kwa mkono ๐๐๐Hivi Ukunduni trains zao wanazioshea wapi? Na maintenance inafanyika wapi?
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/197dK6CCGZ/
These are the jobs they have been exporting as a country, damn "blood remittances".Bora anaeexport omba omba kuliko slaves View attachment 3420920
Waje na design nzuri basi sio kuchakata design hizohizo mbona walio kwenye maamuzi akili zimelala?New bus terminal near Morogoro SGR terminus. ๐๐พ Morogoro begins 13.4bn/- bus terminal project near SGR โ Daily News.