Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

VItuo vyenyewe vishazidiwa hususan cha dar abiria ni wengi kuliko walivyotarajia sasa ndio waongeze safari watawaweka wapi hao abiria,ukifatilia vizuri trc wenyewe wanakiri kwamba watarekebisha baadhi ya makosa waliofanya awamu ya kwanza na ya pili ambayo yataweza kurekebishikaa na mojawapo ni vituo kuwa vidogo,hasahasa vya mjini
Cha dar wametaka wenyewe mfano kuanzia sa mbili mpaka tatu kuna treni mbili zinaondoka na moja kuingia kwa interval ya karibia nusu saa tu baada ya hapo Kuna ya kuingia saa Tano then mpaka jion wakati wangeweza panga ratiba hata kwa interval ya masaa mawili tu .
 
Tanga city Tz. 👇🏾 home sweet home
IMG_0053.jpeg
IMG_0052.jpeg
IMG_0046.jpeg
IMG_0051.jpeg
 
Na umegundua pia Tanzania tu ndo nchi imejaza omba omba kila mahali na wanaongoza kwa umaskini ukanda huu?
Hao ni Warundi, watimueni.

Mnabonga sana.

Sisi tunatimua kila siku.

Tukikukamata tunatimua.

Na tumetunga sheria rasmi ya kuwashughulikia nyie wahuni mnaojifanya mnakuja kulima TZ,

Na tukiwakamata, tunawafira sasa hivi😂😂

20250729_171930.jpg
 
Back
Top Bottom