buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,119
Alafu kuna coodip1 anaita tuwafanyie ubig brother. Mwamba pitia comment huko.Yaani wao kila kitu cha Tz kinawauma? Hawapendi kuona Maendeleo yoyote ya Tanzania. Yaan wanaifuatilia Tz kupita Maelezo.
Wataumia sana mwaka huu na GDP yao iliyoongezeka online kwa $29b
![]()
NTV Kenya
Russia’s Rosatom launches pilot uranium processing plant in Tanzania https://ntvkenya.co.ke/news/russias-rosatom-launches-pilot-uranium-processing-plant-in-tanzania/www.facebook.com
Nyang'au sio watu toka enzi za ukoloni.