concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Hawa watu inatakiwa wajifunze maana ya branding , huwez pata muwekezaji wa dhamani au kitu Cha thaman ikiwa nawe unajishusha sana.Which EAC?
Kenya knows nothing about integration, except when it wants to export it's useless jobless youths.
Hawa watutsi ni wazuri tu nje ila hawafai kwenye kuolewa, kama huyu sidhani kama itadumu hata miaka miwili
View: https://www.instagram.com/p/DMdRqVDsl6g/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=czM4bzBrMmFrZmdm
Lugumi anajilia vitu taratibuu....!
Naomba udhamini wa sandaland footwear wa simba kwa mwaka ni bei gani versus huuu udhamini
Weka link acha ufala.Because you don't follow them they way you do with Kenya. Mngekuwa mnafuatilia mambo ya masomo pia hivo watanzania wangekula mbali Sana.
Wakenya wamelelewa hivyo, ndio maana hata sasa wanafurahia sattelitte towns za Wasomali.Hawa watu inatakiwa wajifunze maana ya branding , huwez pata muwekezaji wa dhamani au kitu Cha thaman ikiwa nawe unajishusha sana.
Hata ukiangalia jinsi wasanii wa kibongo na Kenya walivyo na utofauti wa thaman , hiyo yote inaanzia kwenye brand tengeneza brand ili watu wa thaman waje, sasa wao wanataka badala kuwavutia wawekezaji wakubwa wakuja weka viwanda na wanunuzi wakubwa mazao watao Toka nje wanataka turuhusu wachina waje walime wasafirishe wenyewe huku wazawa wakibaki hawana pa kuuzaπ€£π€£π€£π€£
2019. Simba ilianza na UHLSPORTNaomba udhamini wa sandaland footwear wa simba kwa mwaka ni bei gani versus huuu udhamini
Nahisi ni tour guide kule Arusha π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Huyo mbona anaumia sana! πππ
Hajawahi kutoka nje ya Kenya huyo fala, hana anachojua.mpumbavu wewe unanifanya mm mgeni wa kuja kenya au? bila passport au temporary passport unaeza ingia kenya au uganda ??? lini ushawah toka nje ya ushago hapo???ππππ wewe na ng'ombe tofaut yenu ni nn ?
Wao mpk leo wanakomaa na majengo tu, wenzao tunafanya miradi ya kumkomboa common mwananchi wao wanahangaika na cosmetics, nchi ya wajinga sn Kenya, vighorofa vyenyewe jua kali.View attachment 3425961View attachment 3425962View attachment 3425963EACOP πΉπΏπΉπΏπΉπΏ over 3.5b usd
Dodoma umefika % ngp mpk sasa?tuliambiwa mchina amekimbia siteππ
bado ya dodoma sasa tuwape ugonjwa wa akili View attachment 3425971View attachment 3425972View attachment 3425970
Hapa umeua broo πͺYaani wakenya wanahangaika kweli. π€£π€£π€£π€£ na wanajiita matajiri
View: https://youtu.be/m055eeYbm5c?si=vYD4GCOVJ_TlxBpo
Wasome hapa:
TIC | What criteria do investors need to have to register the project with the Center?
Tanzania Investment Centre (TIC) | Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)www.tic.go.tz
Serikali ya Tanzania haiwezi ku create jobs kwa jobless wa Kenya. Kenya inatakiwa itengeneze jobs kwa watu wake.
Thank you for at last resting this debate . Kenyans farm in TZ. Wale walikuwa wananipiga wako wapi?β¦ππKuna famers wapo kutoka Kenya, ila ni very few na we know them.
Dawa yao imeshapatikana
nimewahi kuleta video humu wakenya 6 walikamatwa wanalima huko RuvumaThank you for at last resting this debate . Kenyans farm in TZ. Wale walikuwa wananipiga wako wapi?β¦ππ
Halafu wakina engineer Hersi walitaka kumfanyia figisu Karia! Watu wacheze mpira waache fitna!Dah Bongo kuna mapesa
Miaka mitatu
View attachment 3425998
Miaka 10 inakua hivi
View attachment 3426002
We maku lazy direct flight ndio nn maku,ebu tutajie account inayolilia sheria za TZ kule x maku wwIs there a direct flight to UK from your lazy nation. KQ does NY, London and other European cities none stop. Your loss making airline is still doing local routes kama Matatu.
Are you sure ?β¦ Keep up β¦π€£π€£π€£Hakuna mkulima wa kikenya huku labda hawkers na bodaboda