Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama amahoro, viwanja vingi vipya vya ki Africa vipo hivyo, sijui kwnn, that's why tulikuja na design mpya ya Arusha ili tuwe na ladha tofauti na waafrika wengine.
Sure nimekiangalia Amohoro sasahivi na chenyewe kina design ya aina hiyohiyo
Ingawa Amohoro ni kizuri kuliko Talanta, na uwanja wa Arusha ukikamilika utakuwa mzuri sana
 
Yani gorofa za Floors mbili ndio unatupigia nazo kelele hapa?😂😂😂
Hiki ni kiwanda kipya cha kuchakata pamba cha Biosustain, Meatu- Simiyu 1067km away from Dar es Salaam
Screenshot_2025-08-02-20-18-18-188_com.instagram.android.png
Screenshot_2025-08-02-20-18-29-307_com.instagram.android-edit.jpg
Screenshot_2025-08-02-20-19-09-039_com.instagram.android-edit.jpg
Screenshot_2025-08-02-20-18-49-344_com.instagram.android-edit.jpg
 
Yameshatokea! Tulivyo SEMA hapa kwamba Tanzania watatutia aibu na hii uLDC wait na slums kila kona. Sasa hii aibu Gani!!!!!!!
View attachment 3428664View attachment 3428665
We maku hii foleni ya uwanja wa mkapa,hapo ni mkapa stadium?tukiwaambia nyie malazy mnaishi kwa kukariri na amuijui dar mnabisha,ndio maana youtubers wenu wakifika dar wanabaki kushangaa,mkapa stadium akujawahi kuwa hivyo nyang'au,hasira zenu za kufukuzwa TZ mnamalizia kuokota vipicha maku nyie
 
Hizi ni aibu gani surely😂😂😂.

Yani Stadium iko empty on the opening match😂😂😂🤣.

Ni kama this time round hawakukubaliwa kuingia bure.

View attachment 3428776
Game ni 100 bob na hawawezi kujaza uwanja alafu hapa jf tunapigiwa kifua eti watanzania wana maisha mazuri.. tickets za game ya kenya ziliisha 5 days earlier
 
These are his own words, "The world today has 6.8 billion people. That’s headed up to about nine billion. Now, if we do a really great job on new vaccines, health care, reproductive health services, we could lower that by, perhaps, 10 or 15 percent.” ( at 4:40min)

How is that taken out of context?
Huyu jamaa ni either hayuko smart ama mindset zao za kuabudu wazungu zimeharibu uwezo wao wa kiakili.
 
Kinachokusumbua ni wivu
Wivu ya kutojaza Stadium? Yani watanzania ninwatu maskini kweli kweli. It's an opening ceremony happening in their country and their team is also playing but they can't fill the stadium. Wanangoja wakubaliwe kuingia bure.
 
Game ni 100 bob na hawawezi kujaza uwanja alafu hapa jf tunapigiwa kifua eti watanzania wana maisha mazuri.. tickets za game ya kenya ziliisha 5 days earlier
Most of their matches huwa wanaingia bure and that's why you will always find Shabana FC gate collection is more than ya Simba and Yanga Combined.
 
Back
Top Bottom