Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani hivi Watanzania ni masking au shida ni ni!?

Na sisi tunauliza shida ya wakenya ni nini?
1754243625441.png
 
If they can’t make it in a stadium right in the middle of the city ( Uswaziland), how are they gonna make it in Arusha ( Afcon) which is in the middle of Serengeti ..🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hebu tueleze kwanini Kenya kila mwaka ni hunger?

1754245069680.png
 
If they can’t make it in a stadium right in the middle of the city ( Uswaziland), how are they gonna make it in Arusha ( Afcon) which is in the middle of Serengeti ..🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Piga ua, umesema that stadium in the middle of a kichaka is inaccessible. 🤣 🤣 🤣
 
Mbna serikali yenu haikuwalipia mfiche hizi aibu
Tanzania hatuna mambo hayo isitoshe hakuna mshabiki wa Mauritania au Madagasicar. Hata hapa Tanzania wangekuwa wanacheza morocco watu wangejaa. Tuliona hata huko USA mechi za kijinga watu walikuwa hawaendi.

TATIZO WAKENYA NI WASHAMBA 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣​

 
Back
Top Bottom