Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🦒 Nchi ya Tanzania ilipokea watalii zaidi ya milioni tano (5) katika msimu wa utalii wa mwaka 2024/2025.

🦓 Tanzania inalenga kuvutia watalii zaidi ya milioni nane (8) kwa mwaka ifikapo 2030.

📸: Meli ya watalii ikiwasili Pwani ya Dar es Salaam
1754309155842.jpg
 
wakat rasi ananunua ticket na kugawa kwa wafanyakazi wa serekali na wale kalenjin wenzie huku kwetu kiwanda chapili cha FAW kimejengwa bagamoyo apart of that in kibaha 😂😂😂

hichi kitazalisha 5000 units by 2027 mwaka huu wataanza na 2000 units

IMG_7571.jpeg
IMG_7572.jpeg
IMG_7573.jpeg
IMG_7574.jpeg
IMG_7575.jpeg
IMG_7576.jpeg
IMG_7577.jpeg
IMG_7578.jpeg
IMG_7580.jpeg
 
wakat rasi ananunua ticket na kugawa kwa wafanyakazi wa serekali na wale kalenjin wenzie huku kwetu kiwanda chapili cha FAW kimejengwa bagamoyo apart of that in kibaha 😂😂😂

hichi kitazalisha 5000 units by 2027 mwaka huu wataanza na 2000 units

View attachment 3430991View attachment 3430994View attachment 3430995View attachment 3430997View attachment 3430998View attachment 3431000View attachment 3431001View attachment 3431003View attachment 3431004
Inatakiwa tupate kampuni moja ya magari ya kawaida na hyce za abiria, ili tupumzike na used za Japan.
 
umeamua kutuonesha takataka live bila chenga 😂😂😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

leo umejipiga denda mwenyewe
Poe kwa maumivu. Ulisema affordable housing atafanyika, saa unatafuta kichaka cha kujifichia🤣😂😂
 
Upizani wa sasa unaweza fananidha na ule wa 1995 au 2010? Si dhani.

Ngoja tuone.

Naelewa kuchoshwa kwako na CCM, wengi walikuwa hivyo 2010-2015, ila hapa naongelea misingi ya chama, siyo watu.

kama mtandao wataondolewa, na kuletwa katiba ya Warioba (ambayo inawajibisha viongozi), CCm itakuwa vizuri.

Kwa sasa hakuna chama mbadala, Lissu (CHADEMA) kwa mfano, amejikamatisha sana na EU, sasa unajua mwenyewe, ajenda za akina Ursula zilivyo, tutashurutishwa mambo ya ajabu ajabu.
Uko sahihi mkuu ila nahisi inahitajika pia baadhi ya sera za Chama Cha CCM zibadilike maana inaonesha kabisa Kuna mapungufu kwenye sera zake baadhi.

😂😂😂Inamaana mkuu hauamini mikono mingine nje ya CCM?
 
mpumbavu ni mpumbavu, yani sikio la kufa halisikii dawa., idiocy on steroids here, betting firms even consider form of players and current performance ya team, basing on latest previous performance, sio mere ranking hehehehe, wewe ni fala, hehehe, team inaweza ku survive relegation season iliyopita, kisha current season wanashinda game zao zikifatana kwa mpigo., watapewa odds kidogo based on current variables that is making them win games, nyambaff!!..,
Embu Wacha nijadili mambo ya maana.
Baki na ukichaa wako unanipotezea muda hapa.
 
Hivi sera za ACT wazalendo zikoje?

Hii sheria ya wa znz kumiliki ardhi bara ila sisi kutomiliki kule, mbona ya zamani sana. Wakati na kua hata kwenda Znz ilikuwa lazima uwe na passport.
Sera zake nitaleta soft copy yake na kumwaga humu uzione mkuu.
Ni sera nzuri tu na jengefu.

Kuhusu umiliki wa ardhi sijajua kama hiyo ilikua ni ya zamani sana shukran umenifahamisha.
Ila hivi wewe unaona ni sawa mpemba aishi Bara pasi na vikwazo ila Mbara akienda visiwani awekewe vikwazo hasa hilo la ardhi!?
 
Back
Top Bottom