View: https://www.instagram.com/p/DM8EZcYpP5g/?igsh=cmc3b2Q5bWE5aHpz hawa suma jkt wapo vizuri sana,hizo kevlar helmet kuna nchi mpaka zitembeze bakuli USA,ila sisi tunazitengeneza wenyewe
Wajitahidi bana.
Jeshi la VIETNUM lina mradi wa HALOTEL hapa, sisi tunazindua mradi wa kokoto na kumpa Lugumi tenda mpaka za nguo.
Wakaze