we have strong millitary na kila siku wanakufa kwa uzembe
View: https://x.com/kenyans/status/1952962947036397800?s=46
Makenya ni matapeli.
Marekani alipotoa pesa yakaenda kupigana Somalia.
Juzi Marekani akatoa pesa tena yakaenda kupigana tena Haiti.
Ila kwao kila siku yanasumbuliwa na BANDITS na Alshabab.