Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So hzo picha ndio umeona kila kituπŸ˜‚ yani tazama hata umbali wa hzo picha na ile ya nairobi picha haijapigwa mbalia na kila kitu kina fit kwenye one pic
 
Cherry picked kujiliwaza,., Kisha bado wageni wakiishi Kenya Kisha watembee Bongo wanaona mko nyuma ya Kenya miaka 30, licha ya kuijua Kibera, propaganda zenu hazina ushawishi dhidi ya reality🀣🀣🀣🀣🀣..,
Your browser is not able to display this video.
 
Huyo jamaa anasema yuko HIGH DEMAND sana Kenya.

Dada zenu mpaka nyie mnataka awapige miti.

Halafu ni Kinyozi tu huko US na Youtuber.
 
Huyo jamaa anasema yuko HIGH DEMAND sana Kenya.

Dada zenu mpaka nyie mnataka awapige miti.

Halafu ni Kinyozi tu huko US na Youtuber.
So amedanganya kama nyinyi mlivyo?.., FACT PAINS 🀣🀣🀣🀣🀣.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…