Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bro, you literally spend a whole parliament session whining about Kenya when Jaguar mentioned that East African hawkers in Gikomba should go back...............and that was not even a law, it was an individual's opinion. Sasa ingekuwa sheria je? Who do you think you're fooling? People are really stupid on this thread.😂😂


View: https://youtu.be/nOReJcML3uQ

Why don't you deport them?
 
Hawa wakisema We are Rich, Unaona hata aibu kusema Chochote, Ila wale wakundustan wanasema we are Rich na Audacity yote kumbe wananuka tope kila eneo. Hata eneo alipo anaposema we are Rich linamkataaa😂
narudi tena maneno yangu kwenye maneno 100 ya mkenya chukua moja na ukitoka hapo usigeuke nyuma, na ukifika nyumbani hakikisha usilale mpaka na hilo moja pia ulitafakari kwa kina😂😂😂😂
 
Alisikika mnuka mavi akisema halitajengwa kamwe

Screenshot_20250719-223530.png

 
kwani kwenye initial post yangu nilisema nini? I quote " we are building ports" sasa wewe unataka kuona nini zaidi ya construction progress?
Kama existing ports lacks proper infrastructure hizo mpya ndio zitakua nazo?🤣🤣
 
Back
Top Bottom