Kuna house au hut?Content creator anatafuta pesa wewe uko hapa unadhani hapo ndio uwezo wake umefika. The fact that anonyesha every step of that house construction gives her a lot of money.
Republic of Talkovia aka Mouthnation Republic, Kundustan. Unaandika too many words, context zero
Hii ni Tv yako mbovu. 🤣🤣🤣 nitafute inbox nikutumie kakitu kidogo ununue TV my govi broder.Kenyans are very passionate about football. This guy smashed his TV after the Angolan second goal which was later disallowed.
View attachment 3435561
That's a content creator.Kuna house au hut?
Kama 50 bob ya kuenda kuwatch ball ndio huna, ya kununua TV ndio utapata?Hii ni Tv yako mbovu. 🤣🤣🤣 nitafute inbox nikutumie kakitu kidogo ununue TV my govi broder.
Hapa CAF imeonea hawa Jamaa😂😂😂.
Fine ni ya nini when they fans didn't even show up for the game😂😂🤣
View: https://x.com/CliveKyazze/status/1953516185842332108?t=_1uPrB7rBhqHtvAy9cQGFA&s=19
Hata hiyo credible source bado mtapinga TuLeta credible source basi, tuone
Republic of Talkovia, umewahi hata mara moja kutoka hapo Kundustan?you are in denial, idadi ya wahindi tanzagiza < laki 2 (200 000) kati ya watu > milioni 50 black people, na hao laki 2 wanamiliki >85% ya uchumi wa tanzagiza ...
Harafu nyie ma lazy utasikia mkijifariji kwamba Kundustan Haina Ardhi wala Madini kama Tanzania 😆😆👇👇You can't stop talking about Kenya can you?
Republic of Talkovia, umewahi hata mara moja kutoka hapo Kundustan?
Which denial? Zaidi ya njaa?still in denial ...
Kaka hii ni Television ni yako?! si kama umeziba jicho moja tu kwa jinsi ilivyopasuka?, vipi ni watoto au mlikuwa mkipigana na mkeo, maana kuna alama hapo ya chanzo cha mpasuko! Dont fight with bibi yako plzKenyans are very passionate about football. This guy smashed his TV after the Angolan second goal which was later disallowed.
View attachment 3435561
Inge.....Ha ha ha😂Tanzania ingekuwa....
Ofcos It's an amateur tournament.Kabla hii tournament haijaisha mnuka mavi atakuja akuambie hii ni league ya amateur, we subiri uone, na yule mlevi mwingine BlietzKrieg atakuja akuambie michuano takataka hii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hata hiyo credible source bado mtapinga Tu
View: https://x.com/MickyJnr__/status/1953507276653838513?t=WgMx3IrYfvWdUa9OPTbadg&s=19
Kiingereza ndio huelewi ama?Kaka hii ni Television ni yako?! si kama umeziba jicho moja tu kwa jinsi ilivyopasuka?, vipi ni watoto au mlikuwa mkipigana na mkeo, maana kuna alama hapo ya chanzo cha mpasuko! Dont fight with bibi yako plz