instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,612
- 19,818
Lakin Bado mechi live KBC inastack.
Wakimaliza barabara ya mtukula to Masaka 100km. Mambo yatakuwa mazr zaidi.foleni hio boda ya mutukula tanzania and uganda magari yanayotoka tanzania kuingia uganda foleni ni kubwa over 3km
aise nimefurah sana kuona mizigo sasa inapitia bandari ya dar kwenda uganda kwa wingi kiasi hichi am so happy sasa tunagawana ile cake ya uganda
View attachment 3439177