Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

When you are forced to fabricate narratives in the name of patriotism........ 🚮 🚮
What fabrication? It's no secret that majority of Kenya's tea come from small-scale farmers, from the winding hills of Kisii Highlands in western Kenya to the central highlangs in central Kenya
 
ngome kongwe ina zaidi ya miaka 200
yani umeona hio ndio kitu ya kupost😂😂
munalaana gani nyinyi??
View attachment 3439547
Unakuanga na akili wewe? Ama huwa unajibu Tu posts za watu for the sake of replying?

Naongelea Lake Victoria lakini wewe unaniletea vitu vya Zanzibar which is even not along the shores of Indian ocean.

The first and only amphitheater along Lake Victoria is in Homa Bay County in Kenya.

1000042971.jpg
 
View attachment 3439705
So what.? Kadubwana kenyew kadunchu
 
Unakuanga na akili wewe? Ama huwa unajibu Tu posts za watu for the sake of replying?

Naongelea Lake Victoria lakini wewe unaniletea vitu vya Zanzibar which is even not along the shores of Indian ocean.

The first and only amphitheater along Lake Victoria is in Homa Bay County in Kenya.

View attachment 3439705
Hii ni nini kwaajili ya nini??
 
Naona Kiswahili chako kimepiga hatua kweli we nyang'au. Hongera!!
The same way kiingereza chenu kimepiga hatua sana mibongalala. Hongera!

When I joined this forum, a majority of you, including the creator of this thread, could not construct a comprehensive English sentence
 
Ulitoa picha ya National Park after I called you out. Idiot.
Hiyo 'barabara' unayoongelea is an undeveloped private property, sio barabara Rasmi. Atakayenunua hiyo ploti ataifanyia anachotaka. Neno 'Nandi Road' limetumika hapo kueleza sehemu kama vile kuna mitaa huitwa 'Mombasa Road, Thika Road, Waiyaki Way, Ngong Road, Langata Road n.k. Ni kama huelewi mitaa ya Nairobi inavyokuwa named. Nandi Road yenyewe hii hapa kwa google maps wee pimbi - Nairobi kuna Google Street View. Mbona mambo rahisi inawasumbua?

View attachment 3439415View attachment 3439416

View: https://youtu.be/RNMA2z9ldU4?si=jZfuEVLXp_s0Od5U
 
Back
Top Bottom