President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Hukuna Uniliver Kenya acha uongo, Kenya ni madalali tu. Sijaona Contact ya kenya kwenye website yao.1. Uniliver
2. Chandaria industries
3. KWAL
4. Dormans
5. Davis and shirtliff
6. Cooper brands ltd
7. Copia
8. Cold solutions
9. ALP
10. Distell
11. IFC
12. Twiga
13. Bidco
14. Tianlong
15. Stecol corporation
16. Sinotruk
Etc
Chanadaria haipo Tatu city acha uongo1. Uniliver
2. Chandaria industries
3. KWAL
4. Dormans
5. Davis and shirtliff
6. Cooper brands ltd
7. Copia
8. Cold solutions
9. ALP
10. Distell
11. IFC
12. Twiga
13. Bidco
14. Tianlong
15. Stecol corporation
16. Sinotruk
Etc
Yaani unatuletea kiwanda cha kutengeneza Wine kweli? Are you serious? Tanzania viwanda vya wine vipo huko Dodoma wanakolima zabibu. Tena vingi mno1. Uniliver
2. Chandaria industries
3. KWAL
4. Dormans
5. Davis and shirtliff
6. Cooper brands ltd
7. Copia
8. Cold solutions
9. ALP
10. Distell
11. IFC
12. Twiga
13. Bidco
14. Tianlong
15. Stecol corporation
16. Sinotruk
Etc
Dormans - Wakaangaji wa kahawa mnaweka kwenye Industry Park? Wanaajiri watu wangapi?1. Uniliver
2. Chandaria industries
3. KWAL
4. Dormans
5. Davis and shirtliff
6. Cooper brands ltd
7. Copia
8. Cold solutions
9. ALP
10. Distell
11. IFC
12. Twiga
13. Bidco
14. Tianlong
15. Stecol corporation
16. Sinotruk
Etc
Dormans - Wakaangaji wa kahawa mnaweka kwenye Industry Park? Wanaajiri watu wangapi?
Haya makampuni yako Kenya tangu Uhuru, kwahiyo yanahamia TATU CITY?,1. Uniliver
2. Chandaria industries
3. KWAL
4. Dormans
5. Davis and shirtliff
6. Cooper brands ltd
7. Copia
8. Cold solutions
9. ALP
10. Distell
11. IFC
12. Twiga
13. Bidco
14. Tianlong
15. Stecol corporation
16. Sinotruk
Etc
The great difference between Kenya na TZ , is Uoga hauko kwa Wakenya . TZ got a thousand more poverty problems but they won’t dare highlight it for fear of CCM retaliation. But Kenyans will shame even their President. So Wabongo enjoy exposing Kenya’s freedom of expression, something you only see on Kenyan tvs or social media ..😁😁Kilifi kuna umasikini wa kutisha. Ukitoa Mombasa CBD, Pwani ya Kenya kama Kilifi, Lamu, Malindi kuna umasikini wa kutisha vibaya sana
Hii stadium mchina atapiga mnada mpaka pumbu zenuDaily Dose
![]()
🤣🤣🤣ati TZ hakuna upuzi?… let me get this straight. You wanna me to accept stats from same government paper that once indicated there was no covid in Tanzania… that newspaper?…. 🤣🤣🤣🤣… try another trick kilaza …so hawatakiwi ku report habari au?? hvi ww unafkiri tanzania kuna upuuzi kama kwenu? media zote ni kikuyu na kalenjin 😂😂
yani tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya na bado huogopi tu?? 😂😂
Daily Dose
![]()
The difference siyo UOGA.The great difference between Kenya na TZ , is Uoga hauko kwa Wakenya . TZ got a thousand more poverty problems but they won’t dare highlight it for fear of CCM retaliation. But Kenyans will shame even their President. So Wabongo enjoy exposing Kenya’s freedom of expression, something you only see on Kenyan tvs or social media ..😁😁
tuoneshe sasa hio tatu city yenye 3b usd sasa musituletee propaganda za kina kasongo hapa 😂😂😂😂😂 kwasababu kila siku munadanganywa basi munafkiri uongo ni chakula cha kila mtu ng'ombe weweSo tatu city imeishia hapo? Nyinyi ni wabishi kupitiliza. Kwa taarifa yako tatu ina makampuni zaidi ya 100 na wafanyikazi zaidi ya 20,000
walijaribu kila aina ya project lakini wapi waliishia kuliwa pesa zao tu sijui BRT wakapaka listick thika, sijui wakaja na ndoto ya tram ikaishia kwa hewa, mara railway city 😂😂😂😂😂😂😂Ndio maana mji umejaa FLYOVERS, BYPASS, HIGHWAYS, na UNDERPASS lakini wapi??
Mji umejaa kuta za MAZEGE kwa jina la BARABARA lakini wapi?
Watakuja kushtuka wamechelewa sana.
Futa hiyo Nairobi National Park, panua mji.
Ondoa Nairobi mentality, endeleza miji mingine kama Mombasa, Nakuru, Lamu, Malindi na Kisumu.
Imagine, Talanta, Kasarani zote ziko Nairobi.
Traffic jam haitakuja kuisha.
Kuna mambo hawataki kukubali, ila ndio ukweli.walijaribu kila aina ya project lakini wapi waliishia kuliwa pesa zao tu sijui BRT wakapaka listick thika, sijui wakaja na ndoto ya tram ikaishia kwa hewa, mara railway city 😂😂😂😂😂😂😂
yani nje ya nairobi hakuna project ya maana ya kusema wanaendeleza nchi never zaidi ya vi appartment vya ruto anavowadanganya navo huku wamiliki wakuu ni politicians na hapo ndio utaona ajabu ya hawa punda yani hawana hata fikra ya kufkiri kua wanarudi nyuma baada ya kwenda mbele
hio talanta yenyewe ni mradi wa PPP kutoka china maana yake still mchina atakua mmiliki kama vile nairobi expressway ambayo mpaka leo haijaonesha mwanga kama itarudisha pesa within 30 good years 😂😂😂😂
sasa ikiwa 696km sq area ya nairobi city na katika hzo hzo nairobi national park iko ndani ile misitu yote imezunguka nairobi imo ndani ya hio hio km sq