ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,539
- 164,144
shida pia iko wizarani yani siasa zimekua ni nyingi sana kwenye mpiraNilijua Tu kama kuna madudu, na mimi nawalaumu Karia na genge lake, siamini kabisa kama msigwa na mwana FA walishindwa kupiga promo ya kutosha. Huyu lazima ni Karia tu!!