Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ujuaji ukizidi haya ndo matokeao yake. Unafikiri ukiandika kwa kizungu ndo unakuwa sio utumbo?? Kitu hujui unajifanya mtaalam, ona sasa unachoongea!
 
Ukiacha kwamba hao Mapopoma wa Kundustan ni matutusa kamdomo pia kamewaponza.
Shida hawa jamaa mpira hawajui.
Nilizungumza nao siku ile na niliwafahamisha kuwa Kenya hamuna ubora mnacheza kwa kukamia.
Ila ubora wa kikosi hamuna.
Wakaropoka ropoka hapa oooh nyenyenyeee!
Aya tizama nilichosema na ndicho kilichotokea kaka.
 
Halafu huyu YUSUF KAGOMA embu wamtoe. Atatusababishia kadi nyekundu muda si mrefu.
Anatumia sana nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…