concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Namuona Ahmed ally baada ya mechi itokee tumewapiga Morocco mtajua watanzania wanadharua kuliko kiwangoHuo mshono mmoja tu,utajibiwa na nchi nzima ya kundustan,wanaweza hata kuandamana kwa kuzodolewa lile kalai lao