Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,149
- 5,636
Mataifa uliyotaja yote ni yale ambayo some are falling apart, USA unataja kwenye case ya modern transport system.? 🤣🤣🤣 Jamaica unataja kwenye case ya maendeleo.? 🤣🤣🤣🤣. BRT system ni mfumo wa usafiri wa 21st century. Ni mataifa yenye kujielewa tu ndio yamefanikiwa kuwa na mfumo huo, kuna kitaifa cha wapumbavu nothern side of Tanzania kalijaribu lakini kakashindwa. 🤣🤣🤣🤣. Hizo nganya sijui, si culture. The use of those scrap metals were influenced by the hardship of life in kunyarenda, Bosses can’t afford them decent buses.Make YouTube your friend. There is plenty of Nganya material from Jamaica, US, Italy , Nigeria and many other places… lots of tourists post their Nganya encounters online since Nganya is a once in a lifetime unforgettable experience to them . You can’t say that about BRT since it’s a common thing and nothing to excite a tourist who probably live with subway system or more modern BRT. But Nganya is a unique Kenya only culture.