Unakuta mtu toka anazaliwa hajawahi toka njee ya kariobangWhich Kenya are you talking about?
Shida hamtembei hata Kenya.
Villages za Kenya hizi za Tana River, Lamu, Kilifi, Mombasa, Malindi, ???
Hivi unataka kusema Mtanzania anaweza jilinganisha na Mkenya kwa kutembea ama Nini. 😂😂 Naweza nikakuita chizi kwa hilo. Wewe ndio utoke Tandale utembee.Unakuta mtu toka anazaliwa hajawahi toka njee ya kariobang
Enyewe wawashe🤣🤣Moderators wafanye kuwasha Taa huku... Nyang'au wamepotea hawaonekani.
🤣🤣
KiberaWalkerEnyewe wawashe🤣🤣
Hawatoki kwasababu wanaishi Kikabila.Unakuta mtu toka anazaliwa hajawahi toka njee ya kariobang
Aloooo Tanzakundu ni wachumba kwa kila kitu kwetu 🐒🐒🐒Wake zetu
View attachment 3449900
Unajua kwamba majority of Tanzanians in this thread wapo abroad.? 🤣🤣🤣 nyie wote mnapost kutokea hapo kibera capital.Hivi unataka kusema Mtanzania anaweza jilinganisha na Mkenya kwa kutembea ama Nini. 😂😂 Naweza nikakuita chizi kwa hilo. Wewe ndio utoke Tandale utembee.
Nikisema hujui mpira nitakua nimekosea!?Vipi hujui sisi tulimfunga Morocco na watu kumi uwanjani nanyi mkapigwa na huyo Morocco ama unajisahaulisha tu.🤣🤣
Vp madagascar ni timu dhaifu?Tumepigwa lakini Dunia imeelewa Kenya inaenda soccer. Ije AFCON tutazidisha. Every town and city in Kenya was fired up by screening of soccer. It will be bigger during AFCON
HOMABAY
View attachment 3449286View attachment 3449288
Kitale
View attachment 3449291
Nairobi
View attachment 3449293
Na kadhalika.
Ya kale hayanuki.Wake zetu
View attachment 3449900
Kenya mnaotembea wachache sana usitake kubisha.Hivi unataka kusema Mtanzania anaweza jilinganisha na Mkenya kwa kutembea ama Nini. 😂😂 Naweza nikakuita chizi kwa hilo. Wewe ndio utoke Tandale utembee.
Mzee hatuna kocha,pale kwenye benchi la ufundi kuna wahamasishaji ndo ulitegemea tumfunge morocco!kagoma atakula umeme yani ni wale no 6 wakizamani yeye muda wote anaingia uvunguni bila tahadhari atakula umeme muda si mrefu yani kama ndio no 6 simba wanaitegemea huyu atawa cost sana
Kunyan ni machokoTanzania mafala sana
Kundi jepesi kwani aliekuboniface mwangi hapo kisirani katoka kundi gani?Yamtebombw.a, kundi jepesi wakajiona Argentina
Kweli unayosema but hizi slums zinapenya tu 6% of the city.na hii hali inabadilishwa na ujenzi wa nyumba za bei nafuu kwa mwanchi wa kawaidi.
Lakini hali dar inatisha aisee,sorry your city is a big mess,,serikali inafaa ingilie kati kutatua or you would end like lagos,,you are almost there
View: https://www.facebook.com/share/v/19R1jUitTE/
Yes but are not categorized as slumsSidhani kama umetazama hio video nimekuwekea bro,hizo nyumba for most part ziko sawa lakini they are chaotic,almost zero infrastructure like roads achilia mbali sewage na maji.hapo serikali imelegeza kamba,sio mtihani kuwa na mpangilio.
Nadhani hata maana ya slum hajajua bado.Yes but are not categorized as slums