Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kocha hachezi mpira, wachezaji ndo hakuna. Hapo sioni mtu anaweza pewa namba Harambee stars. Inshort league yenu imevuliwa chupi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wazee wa butua butua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Saa saba mchana jana mimi nilishatoa muongozo na matokeo ya mechi.


View: https://x.com/KipepeComrade/status/1958658030285070673

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1958849631699234926

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1958913881314652326
Baada ya yote kusemwa, sisi na Kenya tofauti yetu ni kubwa sana. Sisi tuna tatizo moja wao wana matatizo elfu moja, Sisi tunatatizo la TFF na kandarasi wanazotoa kwa benchi la ufundi, wakati wao wanatatizo la ligi ni very weak, poor na viwangi vibovu na kwa kiasi kikubwa McCathy kawa save na ni bora ukilinganisha na Wajinga tulionao na timu yetu inaendeshwa na kiwango cha ligi yetu na haina kocha. Sisi swala hili tunaweza limaliza within a week kama serikali itaingilia pale TFF lakini wao swala la ligi kuwa even closer to ours ni ndoto.

Magonjwa Mtambuka Reborn Ktb Chill mwaiofhawaii Lemzy BlietzKrieg kennedy0000 Capt Richie eddy25r Marcelly Kosugi Geza Ulole AMARII babayao255 NDINDA LURIGA ichoboy01 NairobiWalker​

 

Attachments

  • 1755975847106.gif
    42 bytes · Views: 39
🀣 🀣 🀣 Watu wa informal economy hata hosting ya CHAN pekee ilishawaexpose.


View: https://x.com/NchiYanguNzuri/status/1959202629709664502
Weka statistics wa the highest revenue mliyowahi kusanya kwa mechi yoyote Kenya iliyowahi vuka ksh 10mil?
Attendance ya mara moja isiwavuruge mnarudi kwenye ligi zenu ambayo hata kocha kulipwa mshahara itabidi asubiri miezi miwili 🀣🀣🀣🀣
 
🀣 🀣 🀣 Watu wa informal economy hata hosting ya CHAN pekee ilishawaexpose.


View: https://x.com/NchiYanguNzuri/status/1959202629709664502
Kumlipa kocha tu ilikuwa mtihani, mmejaza kauwanja kwenye hivi vimashindanl mnaona mmefikia.

Hayo mnayoshangilia leo kutoza 200 tushayafanya 12 years back na bado hata hatujisifii sababu ni pesa ndo sana.
The highest amount ya makusanyo ilikuwa ni more than 25mil ksh .
Kiasi ambacho mpaka sasa hamjawahi ota hat kupata

 
Unataka kucompare CHAN a one month tournament na hizo michezo zenu za mara mbili kwa mwaka. 🀣 🀣 🀣 CHAN imewashinda, sasa AFCON ndio mutaweza?
 

Thanks for sharing old news, hii FKF ya Nick Mwendwa iliisha kitambo sana. Pole sana. 🀣 🀣 🀣 We have a new federation in office.
 
Unataka kucompare CHAN a one month tournament na hizo michezo zenu za mara mbili kwa mwaka. 🀣 🀣 🀣 CHAN imewashinda, sasa AFCON ndio mutaweza?
Umeona mfano wa uwanja unavyojazwaga Jana?
Hiyo ilikuwa sample tu, kabla ya hapo hakukuwa na marketing yoyote ya michezo hiyo . Kipimo ni wewe kutuletea revenue collection ya above 10mil ksh ili tuone kama mnaweza hata kufikia level za Tanzania.
Nyinyi bado sana kama kocha tu miezi tisa mlikiwa mnashindwa kumlipa
 
Thanks for sharing old news, hii FKF ya Nick Mwendwa iliisha kitambo sana. Pole sana. 🀣 🀣 🀣 We have a new federation in office.
Huku umefika lini kwanza 20mil ksh kwa mechi moja hiyo ni mwaka 2023
Hata hizo mechi zote za chan mwaka huu kwenu hakuna iliyofikisha this amount
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…