Mwinyi ana tofauti gani na hilo.uongozi ni utayari na uaminifu kaka shida ya watu wanaopewa dhamana hio wanataka madili tena makubwa wahusike
Amekodisha visiwa vyote Zanzibar. Amempa Bakhresa maeneo amejenga majumba (Fumbo town) anauzia Wazungu tu.
Wazanzibar wako wapi??
Wanapumulia bara tu.