Heshima ya kura ni sehemu ya usalama wa nchi.Sasa brother jimbo moja la Chalinze ndilo liwakilishe majimbo yote Tanzania?
Kaka acha wivu hizo ndizo siasa kaka. Hata huko kwa aanzilishi wa siasa mambo yapo hivyo Bill Clinton alikuwa president lakini baadae mke wake akawa 67th United States Secretary of State
Unalalamika bure tu bila hata ground
Leo usalama ukizorota hao kina Ridhiwani au nyie vijana wa CCM hamtaweza.
Vita yetu ya Kagera kila MTZ aliahiriki, na waganda walitoa ushirikiano kwetu kwasababu hawakumpenda Iddi Amini.