ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,539
- 164,144
kaka tulia mchengelwa mkwe wetu anafanya kazi wala musiwe na wasiwasi muhimu sisi tushangilie kila kitu😀😀😀Si walisema hao mofat cjui nani nani watapewa route 1? Zen route nyingine wapewe wengine ili kupima performance? Iweje waanze kuchukua na route nyingine? Hapa kuna kitu hapa, mwishowe watachukua route zotee alafu yarudi yale yale.
alaf yupo mtoto wetu mpendwa sijamtaja hapo aliotuletea DP world na mambo mengine