buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,119
We Jamaa daily akili zako zinazidi kupukutika.Naongea na mtu mwenye hata hajui Zanzibar is not part of Taifa stars. Yani haelewi team yake ya nchi alafu ananiambia tubishane naye kuhusu mpira. instanbul kuja uchukue hii ng'ombe yako?
Kwa hivo Kenya ndio wachezaji wake muhimu walikuwa? Wacheni excuses buana. If you are a football nation then your reserve team should be able to beat our reserve team.
Wee enda ujifunze Taifa Stars ni nini ndio uje tuongee.
Eti Zanzibar is not part of Taifa stars na unajifanya kweli unajua mpira.
Bila shaka Certified Nicompoop linawafaa.
Kuna Nicxie hajui mlicheza Qualifying Match.
It proves jinsi gani mlivyo washamba.