Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hio ni jamii forum article mzee 😂😂😂


 
Sidhani kama ni kweli. Nkrumah kwanza hakuwa na nguvu.

Alipinduliwa akakimbia nchi, na kufia Uhamishoni.

Hata uwanja wa Ndege Ghana unaitwa Asante Kotoka, Mwanajeshi aliyempindua.
Nkrumah alijitangaza Rais wa Maisha Ghana wanajeshi wakasema naye. Hata Nyerere kutokubali falsafa ya Africa Unite kwa mrengo wa Nkrumah ni kwamba aliishaona kuwa Nkrumah anajiandaa kuwa Rais wa Afrika, Nyerere akatumia influence yake kupinga ideology yake na kuja na mtazamo mwingine wa RECs, hata hiyo heshima kidogo kapewa ni sababu tu ya heshima ya Pan Africanism na yeye kuwa Pan Africanist wa kwanza kuipa nchi yake uhuru, otherwise Nkrumah angetuburuza sana kama angefanikiwa.
 
hio ni jamii forum article mzee 😂😂😂
View attachment 3466021

View attachment 3466024
Hata wewe uliyoweka ni Model ya AI mtu anaweza kuweka tu na kupotosha ukweli. Mimi nakupatia ukweli.

Brother hayo yote ni makosa yaliyo endelezwa.
Kipindi cha kupigania Uhuru wanawake walikuwa wanakuwa na initial za Bi. likiwa na maana ya Ms.

Hayo makosa yaliendelezwa ilikupoteza heshima yake. Wakati wanapigania uhuru alikuwa ni mdogo na siyo Bibi

Nitakuletea vitabu usome.

Hayo makosa yalirithiwa na yanaendelezwa.
 

Nimependa sana andiko lako. Mara nyingi kila napoingia kwenye mijadala hii huwa najiona bado sana sijayajua mambo na ni kweli...mfano hapo huo unaosema mtazamo wa RECs ni jambo jipya ningependa kufahamu zaidi. Too bad mambo mengi hayapo documented.
 
Huna akili! 🚮
 
Sidhani kama ni kweli. Nkrumah kwanza hakuwa na nguvu.

Alipinduliwa akakimbia nchi, na kufia Uhamishoni.

Hata uwanja wa Ndege Ghana unaitwa Asante Kotoka, Mwanajeshi aliyempindua.
Hakukimbia nchi.
Alikuwa ameenda China kwenye visit huku nyjma watu wakafanya yaona alipofika ingawa wenyeji tayari walikuwa na data kuwa jamaa sio rais, lakini alipokelewa kwa heshima na red carpet bila kujua yaliyotokea na kupelekwa kwenye bnyumba ya wageni. Ndio alipoambiwa na kuoneshwa kwenye TV yanayoendelea Ghana. Waziri wake wa mambo za njea alipotumwa aende Adis Ababa kupinga coup na kuomba support kwa Nkurumah alitoweka na kuelekea Ghana same na watu alioambatana nao.
 
Timu zetu za taifa hazina kocha.
Yn ukiangalia uhitaji cheti cha ukocha kujua kwamba benchi la ufundi halifahamu linataka nn, katika miaka yote tuliyowahi kuwa na national team, hatujawahi kuwa na timu bora zaidi ya hii, hizo zingine zote ni kelele tu na maneno meengiii yasiyo na justification yoyote, kinachotuangusha kwa ss kipo wazi kabisa, benchi la ufundi. Kama tungekuwa na benchi la ufundi kama at least la kenya tungefika mbali sanaa, mana wakenya wana benchi la ufundi zuri ila timu hawana, sisi tuna timu ila hatuna benchi zuri la ufundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…