concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Ni tan 6.3mil labda iwe ni mazao ya nchi nzim, lakin bado hesabu zao hazina uhalisia mwaka juzi walikuwa na 44.7mil bags ambazo ni sawa na tan 4.25mil tonnes yaan ndani ya mwaka mmoja wawe wameongeza acre zaid ya 740,000 za kilimo Cha mahindi hiyo wanajiraji tu70 million bags ni ndogo sana.
Njaa iko palepale. 🚮
Hata hivyo bado sana kufikia kiwango Cha tanzania, I