Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣 🤣 🤣 🤣 In summary.

The Dictator (2012)

hahaha spot- on, huyo jamaa mwenye midevu anaonekana kama muslim (pia) ...
 
In 5 years this league will be fire. Prize money imefika 20M, football nation imekwama kwa 32M.

View: https://x.com/husseinmoha/status/1967891021502489025?t=7eKIJPxWewGoQiaEIevTzg&s=19

Toka huko Kibera ulikojifungia. That's what Club that win makes. Hata mpewe miaka 30 hamna kitu. Don't forget sportpesa hela aliyowapa Ligi nzima 10yrs na same amount ameipa Yanga for 3yrs.
1000160650.jpg

1758087801419.jpeg

It means Mapato ya Yanga kwa msimu mmoja can Keep your whole league kwa miaka 10.

1000159488.jpg

You neeed 100yrs may be. Msisahau AzamTv ndio anawafanya mlete kidomodomo
 
View attachment 3473434View attachment 3473435
Addis pamoja na nairobi wanaushamba mwingi😂😂😂😂👏👏I can go on and on, projects of this kindcurrently on going in both cities are in there dozens, hundreds more zimepanga line ,zitakua zina pop up hapa kama pop corn ones construction starts.👏👏
usibabaike na make up za usoni wakati mwili mchafu hujaoga. Jenga misingi ya uchumi imara kwanza haya ya kupendezesha macho yatakuja yenyewe tuu. It is a gradual process you cannot jump a step for sustainability purposes.
 
They slightly stole the design of Mzizima tower
 
Hatuuzi maji kwenye mkokoteni, hiyo ilikuwa zamani sn since I was child, Tanzania especially Dar hakuna shida ya maji, tulishatoka huko, wauza maji kwa mikokoteni walishatafuta kazi za kufanya, kuna mambo mengi yanaendelea huko kenya kwetu huku hakuna kabisa, ni ajabu kukuta mtu anauza maji mtaani kwa mkokoteni, labda mjini wanauza kwa mkokoteni na maji yenyewe ni yale ya chupa (Uhai, Masafi, Hill etc) msifosi tufanane.
Sawa watchman
Screenshot_20250916_005017_Chrome.jpg
Screenshot_20250916_005300_Chrome.jpg
Screenshot_20250916_010640_Chrome.jpg
 
usibabaike na make up za usoni wakati mwili mchafu hujaoga. Jenga misingi ya uchumi imara kwanza haya ya kupendezesha macho yatakuja yenyewe tuu. It is a gradual process you cannot jump a step for sustainability purposes.
And which country is not building her economic pillars if I may ask?
 
Back
Top Bottom