concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Hawana uwezo huo ,kbc wanayoipigia kelele ishawahi pewa free to air right wakashindwa tangaza hata mechi moja , kbc alipaswa kuwa anatoa 10mil kwa mwaka kwa Kila timu kama mgao wa matangazo akashindwa mwaka wa kwanza tu.Mrudishieni Azam fedha zake plus damages! La sivyo another FIFA ban is on the cards!
Lazima ashangae kwa mafuta ya alizeti na mawese watatoa wapi wao import tu kwaiyo kazi ya hayo madumu hawezi ijua kamwe
So kwa akili zako unafikiria hayo ma skyscrapers yanajengwa na serikali pekeyake kama ilivyo huko kwenu? Listen, those are private investments made by private investors we kijana!.mambo yakujenga misingi ni kazi ya serikali kule Kenya sio kama kule Tz ambapo serikali ndio inang'ang'ana kujenga skyscraper....so jiulize kwanini private sector wana invest kujenga nairobi na addis na sio dar ilihali nyie mume invest kwenye agricutureππππ.usibabaike na make up za usoni wakati mwili mchafu hujaoga. Jenga misingi ya uchumi imara kwanza haya ya kupendezesha macho yatakuja yenyewe tuu. It is a gradual process you cannot jump a step for sustainability purposes.
In Dar es salaam? Donkeys zinatimika kubeba maji Dar?! π€£π€£π€£View attachment 3474013View attachment 3474014View attachment 3474015View attachment 3474016
π€£π€£π€£so haya ni madumu ya mafuta sio!? Watu wangu oneni madumu ya mafuta kule Newyork city with BRTπππππ...
I wanted to tell him this nikaona nitapigia mbuzi guitarSo kwa akili zako unafikiria hayo ma skyscrapers yanajengwa na serikali pekeyake kama ilivyo huko kwenu? Listen, those are private investments made by private investors we kijana!.mambo yakujenga misingi ni kazi ya serikali kule Kenya sio kama kule Tz ambapo serikali ndio inang'ang'ana kujenga skyscraper....so jiulize kwanini private sector wana invest kujenga nairobi na addis na sio dar ilihali nyie mume invest kwenye agricutureππππ.
π€¦πππNaona umeenda kuomba msaada sasaπ
π€£π€£π€£yani ushachoka? Na bado!, I'll add more mpaka ulie na ujikunyie weweπ«΅ππππHutuna ushamb
Hatuna ushamba wa magorofa sisi. Unatuchosha tu!!
In Dar es salaam? Donkeys zinatimika kubeba maji Dar?! π€£π€£π€£
This is why I always call it a glorified fishing village
New York of Africa πππ€£π€£π€£Kama NewYork mwananguπ...
Kumbe they can't afford Azam Tv! πππMbona kabla ya hapo alipewa mkataba wa free to air akashindwa tangaza hata mechi mojaπ€£π€£π€£π€£π€£.
Tunasubiri kuona kbc itakapota 1bil ksh kukuza league ya Kenya. Mtahangaika wee ila bado mtarudi kupiga magoti kwa Azam maana hakuna media within east africa Inaweza kufanya live coverage kwa kutumia resources zake ikafanikiwa.
Kbc haina channel special kwa sports while kuna Azam sports1 - 4.
Ila tushawazoea ni wazee wa kelele tu
Wanataka vya Bure , kama kbc anauwezo si awe ananunua mechi kupitia Azam aoneshe kama ilivyo tbcKumbe they can't afford Azam Tv! πππ